Hahaha...KiInglishThanks man ... mpunga umeingiaaa fresh kbsaaa....! Nilisumbuka for 5 days..... salute man... full appreciate..! Sema hawa wazungu wanaongea kingereza kigumu sanaaa..
Wanapigia odds za mechi zilizochezwa tuWakuu humu ndani hivi m-bet kama mechi imekuwa postponed na zilizobaki zimetoka vizuri,,,, utaratibu wa malipo upoje? Mana hata namba zao zipo busy tu hawapatikani kusikiliza shida,,,,,,
Asante sana kwa ufafanuziWanapigia odds za mechi zilizochezwa tu
Hiyo iliyoahirishwa inatolewa endapo haitachezwa ndani ya saa 24 zijazo tangu kuahirishwa.
So unalipwa kwa odds za gemu zilizochezwa
karibu 1xbet hakika hutojutia, jisajiri hapa >>.1XBET.COM Betting Company. Online sports betting | 1XBET.COM Betting CompanyMBET. Washenzi sana niliweka mkeka jana.
Stake 10000
Potential 84000
Asubuhi nimecheki 84 ileile nacheki now ety 76000 afu timu imebaki moja .... Kwa heri mbet wezi tu hawa!.. Mr sportpesa nsamehe kwa kutoka nje ya ndoa!!
Natembea nazo hiziAtalanta Bergamasca v Sampdoria Genoa
Totals 2.5 - Over1.55
Genoa FC v Cagliari Calcio
3 Way - 11.85
Sevilla FC v Bayern Munich
3 Way - 21.6
Aston Villa v Reading FC
3 Way - 11.59
Fulham FC v Leeds United
3 Way - 11.48
Wolverhampton Wanderers v Hull City
3 Way - 11.64
Hibernian FC v Hamilton Academical
3 Way - 11.43
25.32