bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
Mkuu kuna kufurahi kweli Leo we unaona Atalanta kashawapaka watu upupu tayari hapa najua leo ni kujikuna mwanzo mwisho.Hizi tmu Leo zfanye kweli... Tufurahii
Mkuu kuna kufurahi kweli Leo we unaona Atalanta kashawapaka watu upupu tayari hapa najua leo ni kujikuna mwanzo mwisho.Hizi tmu Leo zfanye kweli... Tufurahii
Wadau nimeamini mda mwingine kuBet sio kutafuta odds ndogo bora utafute odds kubwa tuu ujue moja kuliko kuloss mkeka kwa odds ya 1.22
Lakini bado mhindi anakuparua tu.Kweli mkuu,mi ndo maana huwa nakuwa kunguru sana kwenye odds za matimu makubwa coz unarisk 10,000 ili upate 20,000 basi huwa naona kizunguzungu,hebu angalia km ndugu yangu huyu hapaView attachment 733586
Sema sasa unataka msaada gani?Jamani naombeni msaada match moja iko postponed baada ya mda kufika siioni livescore ku google ndio naambiwa ivyo.
Kwenye mkeka match moja naambiwa iko postponed sasa sijui nini kitafata na ndio niliyokuwa naisubiria ya mwisho nyingine zimewin.Sema sasa unataka msaada gani?
Kampuni gani hiyo?Kwenye mkeka match moja naambiwa iko postponed sasa sijui nini kitafata na ndio niliyokuwa naisubiria ya mwisho nyingine zimewin.
Asante mkuu.Basi shukuru umekula ila hizo odds za hiyo match hazitakuwa included nadhani wajua namna ya kukokotoa,zidisha odds za game zilizoisha kisha zidisha kwa stake yako mara 18%Tax basi amount itakayobaki ndo halali yako.
Kama kawa lazima ulipate maana uwezekano wa hiyo game kupigwa kesho hamna.Asante mkuu.
So salio langu nitalipata?
Unaweza kuuza mkuu... Mimi wamebaki bayern na wolves nipate pesa ya supuJamani mwenzenu nipo mnadani na hawa watu kwenye Turbo maana kwa hali niionavyo leo naweza jikuta nakubali kurudishiwa 20% ya winning ammount ila kibaya mi nataka wapande dau kidogo ila hawtaki.View attachment 733595
Ah mkuu nimeghaili acha nipambane na shetani coz mnunuzi mwenyewe anaingia NA kutoka,akiona mtu anashambuliwa anarudisha hela mfukoni utasikia ah subiri kwanza mbona km flani kaelemewa.Ngoja nipambane nae mpaka final whistle.Unaweza kuuza mkuu... Mimi wamebaki bayern na wolves nipate pesa ya supu
Eeh subilia Hope mambo yatakuwa salama kabisa mkuuAh mkuu nimeghaili acha nipambane na shetani coz mnunuzi mwenyewe anaingia NA kutoka,akiona mtu anashambuliwa anarudisha hela mfukoni utasikia ah subiri kwanza mbona km flani kaelemewa.Ngoja nipambane nae mpaka final whistle.
Mkuu hadi hapo mambo sio mabaya Astonvilla kashashinda najua na wolves naye atafanya kazi tu.Eeh subilia Hope mambo yatakuwa salama kabisa mkuu
Keshapigwa huko peke yake ndio amenichania mkeka huyu bwege...Mkuu hadi hapo mambo sio mabaya Astonvilla kashashinda najua na wolves naye atafanya kazi tu.
Aisee mkuu Togwa lishaingia nzi hapa ndipo unapokumbuka hela ya supu niliyoikataa.Keshapigwa huko peke yake ndio amenichania mkeka huyu bwege...