Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huyo jamaa amenifanya kitu moja mbaya sana......

Mimi nilimpa either half ashinde nikaona anakata mauno huyo jamaa aliejifunga ndio aliharibu kila kitu .....

Wolves wangeshinda hii game
Yanii mpaka hasiraa...!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]
 
Wakuu nimejiunga rasmi 1Xbet,but mh option zimekuwa nyingi mpaka zinachanganya,tafadhali naomba kuuliza hv hizi user ID zao na Password huwezi kubadilisha?maana figures zake hata hazikremiki kabisa maana ni nyingi halafu zipo vagaranti.Pia nitashukuru km nitapata explanation japo ya betting option chache za muhimu but zile ambazo sio hizi za kawaida zinazopatikana ktk makampuni yote.
 
WAKUU MWENYE NAMBA ZA PREMIER BET ANISAIDIE AISEE,LEO NI SIKU YA TATU TANGU NITOE HELA KWENYE ACCOUNT, SIIJAPATA BADO,TANGU J.3 SAA 9:30 ASBH.
 
Ila nimeamini ukitenga laki tano... daily unatia 100k kwa mechi mbili tatu na hakika mwisho wa mwezi unamkimbiza Dr kwenye mshahara [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Hahahaha mambo yaende sawa ila yakienda kinyume unaweza pata vistress vya ghafla maana ukipigwa 100k × 3 unaweza kuanza kuona mapichapicha ya shetani.
 
Hahahaha mambo yaende sawa ila yakienda kinyume unaweza pata vistress vya ghafla maana ukipigwa 100k × 3 unaweza kuanza kuona mapichapicha ya shetani.
Haha kwa timu kubwa kupoteza ni mara chache mzee... ila ukiliwa hiyo laki itabidi unywe lijibapa kubwa kutoa maumivu mkuu [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mkuu namba zao zote azipatikani..me mwenyew nimetoa 50k yang kwanzia juzi mpaka saivi awajanicheki
Dah basi sijui inakuwaje mi nimetoa hela nusu saa iliyopita na imechukua km dakika 2 ikawa imeingia,hebu jaribuni namba hizo kuanzia SAA nne asubuhi ndo huwa wanapokea cm.
 
M-Transfer payout

Voice call +255 755 700 715
Voice call +255 626 064 800

anza na hiyo ya juu (nadhani ni ya bosi) ujiandae kutema kizungu japo sijazitumia muda mrefu so sijui ka ziko hewani ila niliwahi kupewa suluhisho kupitia nama hizo.

ukimalizana na hiyo yeye atakudirect kwa mtu atakayetatua ishu yako

au kama upo mjini kati waibukie ofisini chap
 
Shukran Mkuu Ila namba ya juu imefungiwa huduma,na ya chini haipatikan
 
Jamani premier bet hawataki kutuma hela yangu sio matapeli kweli?kuna hela nilikosea kwenye kudpost baada ya elf 10000 nilituma elf 5000 nikapiga simu wakasema wataituma mpaka leo sijaiona juzi nimetoa elf 11000 wakasema ndani ya masaa 24 inatumwa mpaka leo sijaiona namba yao nikipiga hawapokei
 
Back
Top Bottom