Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Habari zenu naomba msaada kila nikitaka kutoa hela meridian kwa njia ya Mpesa inarudishwa
 
Jamani premier bet hawataki kutuma hela yangu sio matapeli kweli?kuna hela nilikosea kwenye kudpost baada ya elf 10000 nilituma elf 5000 nikapiga simu wakasema wataituma mpaka leo sijaiona juzi nimetoa elf 11000 wakasema ndani ya masaa 24 inatumwa mpaka leo sijaiona namba yao nikipiga hawapokei
Shukran Mkuu Ila namba ya juu imefungiwa huduma,na ya chini haipatikan
Hata mm kiongoz inasoma hivyo hivyo
m- transferstatus-IPR
bonyezeni hapo kwenye wasap mtapata namba za mawasiliano. ila naona last seen ni yesterday aikirudi hewani tu pambaneni nae

hili swala inaonekana ni kwa wengi labda watakuwa wamepigwa mzigo wa maana hivyo wanakusanya kusanya kwanza za kuwalipa
 

Attachments

  • IMG_20180404_102616_259.JPG
    IMG_20180404_102616_259.JPG
    57.7 KB · Views: 62
Msaada kwenye tuta. Nimevuta laki moja toka Premium bet siku ya NNE Leo sijaipata hiyo pesa. Kwenye wallet imetoka ila kwenye mpesa yangu sijawekewa. Kuna namba yao ya huduma insishia na 0766895903 ila haipatikani.
 
Back
Top Bottom