Mr. Wise
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 7,733
- 6,470
Ndo nilikua namwambia Professor hapo!...hizi option tu ushindwe mwenyewe wao wanagawa pesa ila wenzetu wa bongo full kubana dahhiyo kampuni haiwezi kuwa na njaa za ajabu ajabu kwenye jackpot yao tu hufikia hadi kiasi cha Bilioni mbili za kitanzania