Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wataalam ivi wanaposema In which period will a player sending off.Wanamanisha mchezaji kufanyiwa substitution (kubadilishwa) au wanamanisha mchezaji kutolewa nje kwa kadi nyekundu
.
 
Kwahyo hyo Pesa iko katikati yao na mtandao unaotumia itarudi kwenye acc yako be Patience
 
Wale wazeee wa 1Xbet.. aisee hizi option maana yake nn mbona zinafanana......?
20180404_184505.jpg
 
nimejaribu kwa namba nilio weka last time ndo inagoma hela zinaonekana kama zimetoka ila baada ya muda zinarudi kwenye accaunt
Yeah ni kweli hilo tatizo lipo hata mm wamesharudisha mara mbili nadhani jaribu kutoa amount uliyoshinda tu usitoe na balance iliyokuwepo kwenye akaunti yako.
 
Back
Top Bottom