Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Asubuh sana nasubiri mapene yangu
IMG_20180403_232216.jpg
IMG_20180403_232310.jpg
 
Jaman msaada wenu mbona naambiwa nimelosi wakat juve ana yelow tu au yelow ya diabala haihesabiki
Screenshot_20180403-234159.jpg
 
Andrea Agnelli kapiga pesa ndefu sana...namuona kwa mbali akitabasamu kwa haya matokeo ya Juve....mitimu ya Italy ya kis3nge sana
 
Habari Wakuu .
Msaada wa Kuuza Ticket hapo chini 1×bet [emoji28][emoji28]
Stake 10000 Tsh
Possible Winning 1476843.72 Tsh
Game Mbili zishashinda Bado Mbili.
Screenshot_20180404-011856.jpg
 
Back
Top Bottom