Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wazee leo natoka hivyo kwa yeyote atakae nifuata asiweke dau kubwa hiyo ni kwasababu ya timu moja tu villareal katika 10 best betting site including meridian wenyewe 6wamempa win wa 4wamempa droo so tuwe na hilo kichwani wakatu tunabet other wise unaweza kuitoa hiyo timu ukabaki na nyingine all the best comradesssssssss......!bet for better life

pole mkuu naona brasov amisha haribu mambo.don't gv up!
 
Duh ngoja nitulie kabisa hadi jumamosi maana hii ya kila siku itaniua bure
 
1153609748650 Standard account
------------------------------------------
[5/5]
1205 09-04 18:00:00 Crvena Zvezda-Borac
Final Score 1 1.17
1204 09-04 19:00:00 Vojvodina-Napredak
Final Score 1 1.45
0719 09-04 14:30:00 Warriors FC-Hougang Ut
Final Score 1 1.58
0281 09-04 18:00:00 Trakai-Siauliai
Final Score 1 1.33
0780 09-04 20:00:00 Kaizer Chiefs-AmaZulu
Final Score 1 1.53
------------------------------------------
Total: 10000.00
------------------------------------------
Max payout: 54544.88
Min payout: 54544.88
Combination count: 1
------------------------------------------
09-04 08:16:4

iki ki vojvodina kinaenda kuchana mkeka wngu,huku ulikuwa unakwenda fresh.hi mitimu ya serbia bure kabisa.
 
pole mkuu naona brasov amisha haribu mambo.don't gv up!

asanye kaka wakati nasuka hii sumu sikuangalia red card ila kama kawaida plan a b na c zinazidi kumwaga mpunga maana kuna wako mmoja niliubadilisha kidogo umenimwagia kisent kaka
 
yani ssa hivi vijna cha kwanza kuangalia kwenye kununua simu ni kama ina livescore app,ni shidaar
 
Sasa... Navaa dhima ya ukomando halisi ktk betting.. Hii ni kazi yangu rasmi.. Timu 1 mpunga wa kutosha... Fullstop.
 
hivi kuna Application ya Meridianbet kwenye Android phone wazee naomba link
 
Asanteni sana viborg hongera muhindi kwa kuchukua 50000 tangu jana leo 450000 tukutane jumamosii zitarudi zote
 
Back
Top Bottom