Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

kweli nimeamini mpira sio possession Arsenal tura alikua ana possession almost 25%,shot on taget ndogo mno The End..wamepigwaaaa
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa mara kitu kinatiki,usiku mwema wadau! Nimetupa hilo buku hapo
 

Attachments

  • 1428606871575.jpg
    1428606871575.jpg
    65.6 KB · Views: 198
Kwanza namshukuru mungu kwa mtandao leo kunisumbua nimeshidwa kubet maana timu nilizotaka kujilipua zinatoka draw na kupigwa kimaku-maku- naomba nipate stahimili nibet jumamosi maana naona hata mr predictor bwana #dragon sioni tena maoni yake ligi zimekuwa za kingese-ngese.Mwisho Naombeni tukumbuke hizi rules:
1. Dont chase what you lose
2. Bet what you can afford to lose
3. Betting can be addictive.
 
Wakuu nisaidieni jinsi ya kupata website na menu yake mana kila link inaandika aplication error
 
Hahahahahahahaaaaaa....yaan nmecheka kiasi cha kushindwa kuandika aisee, poleni sana mie mtandao umeniokoa leo.
 
Back
Top Bottom