Unaweza ukaweka Automatic sell bet slipNzuri , Inagoma eti.
Kwa city utalia mkuu leo aponi.Kama nimeuelewa mkuu.... mimi naedit kidogo nampa man city direct win
Eeeh hii mechi ina odd tamu wacha kabisaKwa city utalia mkuu leo aponi.
Hiyo ni kutolewa nje kwa kadi nyekundu mkuuIn which half will there be a sending off,wazee hapo wanamanisha nn? Mchezaji kubadilishwa au kutolewa nje kwa kadi nyekundu?
Maana take home team inashindaNini maana ya 3away-1
Yeah ni kweli hilo tatizo lipo hata mm wamesharudisha mara mbili nadhani jaribu kutoa amount uliyoshinda tu usitoe na balance iliyokuwepo kwenye akaunti yako.nimejaribu kwa namba nilio weka last time ndo inagoma hela zinaonekana kama zimetoka ila baada ya muda zinarudi kwenye accaunt
Unaipa team ushindi, iki draw unarudishiwa pesa. Ikifungwa tu ndio unapotezaMaana ake nn
Mkuu wakati tunasubiri wenyewe waje, mm nadhani hivi:Wale wazeee wa 1Xbet.. aisee hizi option maana yake nn mbona zinafanana......?View attachment 734269
SahihiMkuu wakati tunasubiri wenyewe waje, mm nadhani hivi:
TO = Total Over
TU = Total Under
Tazama kuna neno TU Corners=Total Under na TO corners=Total OverWale wazeee wa 1Xbet.. aisee hizi option maana yake nn mbona zinafanana......?View attachment 734269