Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

upload_2018-4-4_22-59-25.png

BET WON
 
Hi8 mikona leo inanipaje mihela,1st half nmelamba na 2nd half nayo nalamba stake za 10..barca asanteee
 
Jamaniee naombeni mnifundishe kama sio kunipa ushauri kuhusu hii kitu na njia nzuri ya kubashiri namimi niweze
Hakuna njia nzuri mzee...huku ni kupigwa na kupigwa ila inategemea unapigwaje na unapigaje,mwisho wa siku ni kutunziana pesa tu na ndugu kanji
 
Mambo ni motoo,makin had nw hiz match mbil zishatengeneza 80 ya fasta,nataman niitandike nzima nzima mahala fulan hapa iji double,..ila kiroho kiko juu kinouma,..ngoja nikaushe tuu
 
Mambo ni motoo,makin had nw hiz match mbil zishatengeneza 80 ya fasta,nataman niitandike nzima nzima mahala fulan hapa iji double,..ila kiroho kiko juu kinouma,..ngoja nikaushe tuu
mkuu inaonekana ndiomala ya kwanza kula, ebu tandika yote huenda ukaamka asbuhi na bouble
 
mkuu inaonekana ndiomala ya kwanza kula, ebu tandika yote huenda ukaamka asbuhi na bouble
Sichezag kona..ndomana niko excited,leo nmecheza kona tuu,halaf leo mchana nmetandikwa sana,so nw angalau nalala kwa aman.132k
 
Back
Top Bottom