Hali ni mbaya sana hapo ni kuandika bet lostMan city anaelekea kuchana mkeka wangu shenzi zake
Brother we ni nouma mikeka yako 98% uhakika
Vitawezekana vyoote ila sio roma kumfunga barca mjomba,..maajab ya mess ni 2nd halfKuna mdau nilimpa ushauli asjalibu kumpa city ushind uzoefu wakombe utachukua mkondo wake sjui km alinielewa. Vile vile kuna hatar Roma akaishangaza dunia.
Ya liver imeisha,..hakuna miujiza mingne hapo mjombaTuweke akiba ya maneno....mechi bado hazijaisha hizi
Umeitamani Mkuu [emoji2] [emoji1] tumpe niajee??Odds ya man city mda huu 41
SjakuelewaBarca team hamna nasema humu kila siku...sijui wanarukaruka nini?Si team ya kuiamini sana hii kina UMTITI na viungo wanaoishia ubora wao!!Shenzi wameshachana mkeka wangu wameshindwa ku score wamepata OWN goal
mkuu nipe matokea ya Barcelona/mancityNi vizuri sana kuwa na back up ya Mkeka wa dharula au ngumu kumeza..