Karibu mkuu kwenye Handball InplayNikitulia nitaomba niwe nakufuata maana football kwa upande wangu imenigomea atleast basket
Uwezo wako tu, hata mil500 unawekaNdo inakuwa vizuri maana wabongo siunajua makanjanja wengi kulipa hela usumbufu kibao,naomba kuuliza hv maximum amount kuweka kwenye waleti ni bei gani?mfano Mbet ni 100k,Meridian 200k,Sportpesa 500k je Hawa ni bei gani?