Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

IMG_1777.JPG


Haya wale wa NBA Tips hizooooo. Mapambano yanaendelea.
 
Dah.leo ningecheza single bets ningewalaza sana hawa jamaa,ila tamaa mbaya sana *****,sasa wananilaza wao,..ila sio kesi,leo nmecheza na mtaj wa buk5,tentehth.nili ugawanya gawanya wa stake za buk buk,tehtehte,ngoja nilale maana huyu msenge lazio kona hapend,na huyu liepzing nae kufunga hatak,wamenichania mikeka yote ***** zao
 
Dah sjui ntaacha lin tamaa,

Siri ya mafanikio betting ni single bets tu.sjui kwanin siskii

Hii mambo ya kutandika mikeka ni sawa na 3mzuka au biko tuu..

Usikumwema wakuu,..kesho nayo siku Mungu akipenda...
 
oiii hivi kubet primierbet online withdrwal zake zikoje hawazingui kweli?
 
Back
Top Bottom