Million dollars
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,508
- 2,070
Hii app inaitwaje
Hii app inaitwaje
Ina itwa kumforce muhind lazima aliweHii app inaitwaje
😛Ina itwa kumforce muhind lazima aliwe
Kak Pdidy hii app inaitwaje kaka mbona hujibu
Acha kutumia Accumulator .View attachment 735762 wakuu ni nani anauzoefu na accumulator? Maana hawa jamaa bet slip ipo pending tu.
mpwaaa hii app ndo umekataa kusema jina lake?
winonbetonline.commpwaaa hii app ndo umekataa kusema jina lake?
Google winonbetonlineKak Pdidy hii app inaitwaje kaka mbona hujibu
Accumulator n kitu gani....?Acha kutumia Accumulator .
Utakula hela afu Accumulator itabet Automatically afu ngumu kumeza , Acha kabisa
Sio rahisi kama unavyodhani soma hizo option kwa makini na fuatilia stats za mechi husika zilizopitajman hii naona kwenye special bets imeandikwa accumulators aotcomes ina maanisha nn!mbona hatuitumii maana naona kama rahis hivi
mechi imeandikwa zikaptikane goli mbili ,kona mbili kila kipindi kwa kila timu na cards 3 ina Odds 3 inaaana nkiweka afu ikatoka sitalipwa ???Sio rahisi kama unavyodhani soma hizo option kwa makini na fuatilia stats za mechi husika zilizopita
Ila bado mwenzenu mwoga sana, nimekata hivyo hivyo, ila nimechaguwa (win or draw)! najua returns ni ndogo, ila napenda options...hyo imekaajeView attachment 735935
hyo imekaajeView attachment 735935
1xbetHawa ni bookmakers gani wana options nzuri hivi?
Hutakiwi kusema ni rahisi maana hivyo vyote vinatakiwa vitokee, kama mtu unaweza kuomba lipatikane goli moja na halipatikani.mechi imeandikwa zikaptikane goli mbili ,kona mbili kila kipindi kwa kila timu na cards 3 ina Odds 3 inaaana nkiweka afu ikatoka sitalipwa ???
oy mwamba hii ption ya goal no 1 scored by kickn naipateje mdau napitia hapa nimeshindwa kuiweka msaada tafadhalihyo imekaajeView attachment 735935