Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kutoka rohon.atletico hua ananifurahisha sana.
.kat ya tim ambzo hua sina was was nazo kabsaa.duu,tayar mtu kachezea
 
Home teams 2+ Leo nahis kama mapema tuu.. Na wote wanaweza KUWIN
 
Yan leo naona mambo ni matam.
Arsenal
Lazio
Atletico
Wako [emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
Atletco can imani naye gem inaweza kuisha kwa hlo hlo goli 1
Na hao Salzburg wana mechi karbu 16 za Away a hawaPoteza Mechii
 
Ndo inakuwa vizuri maana wabongo siunajua makanjanja wengi kulipa hela usumbufu kibao,naomba kuuliza hv maximum amount kuweka kwenye waleti ni bei gani?mfano Mbet ni 100k,Meridian 200k,Sportpesa 500k je Hawa ni bei gani?
Uwezo wako tu, hata mil500 unaweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…