Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

je li psg likitoka droo?

hilo litimu lilisha nikosesha pesa ndefu kwa ujinga wa kudroo away unaweza kuwa na wqsiwasi na man cit akatoa fresh likaja kuharibu hilo
hapo nilikua namjibu memba fulani anaitwa
futurestar ilikua j5 bado namkumbuka psg aliyenikosesha laki sita kwa kitoka droo ugenini
 
Kwa Form ya St.Etiene kwa hivi sasa ilihitaji roho ngumu kumpa PSG ushindi wamekamatwa kila idara dah
 
PSG kushinda ni kusubiri miujiza sio kwa Moira kama una option ya cash out ihusike mapema
 
Kuna clip 1 youtube jamaa anaelekeza jins ya kupiga pesa betting alisema

"Hata sku1 hua ha bett tim ya away ishinde kwenye normal betting,anasema akiona away kapewa odds za kishinda bas habet normal away ashinde hata sku1

Namii kwa experinc yangu ndogo.nasadiki hili,nmelishuhudia mara nying,hata tim ya home iwe mbov kias gan,kuifunga nyumban kwao ni mtihan.anaweza hvo barca na real tuu.
 
Nimes kashinda tatu schaffaun,cork City niuwezo tu mkuu
 
Mh Leo kweli samaki mtungoni duh!mshenzi wa kwanza kuniwamba msalabani alikuwa Enpi na huyu Cleremontfoot naye kaja kupigilia misumari ya miguu yaani hakuna kuchomoka.mh Shikamoo betting.
 
daah nimekbali hawa 1xbet unaona kama option.zao rahis lakini leo nimeamini jamaa wanajua wanachofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…