Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo odd za psg kushinda ilikua ni kubwa kidogo ukilinganisha na anavyochezaga na timu nyingn akiwa away
 
Hasa ukichagua full registration ndo unakesha,mm nilighaili ikabidi nipige fast registration then baadae ndo nikaanza kuedit profile yangu mambo ndo yakawa fresh.
 
Ila hawa jamaa option zao kuwapiga inawezekana sema tu ma option yalivyo mengi unakuta unaruka mkojo halafu unaenda kutua kwenye mimavi ndo ubaya wake.
 
Mh Leo kweli samaki mtungoni duh!mshenzi wa kwanza kuniwamba msalabani alikuwa Enpi na huyu Cleremontfoot naye kaja kupigilia misumari ya miguu yaani hakuna kuchomoka.mh Shikamoo betting.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
bado najiuliza hawa bookmarker hua wanapigaje hesabu zao????siku zote PSG hua utamuona amepewa odd 1.17 akiwa na timu dhaifu eti leo kapewa 1.35 !!yaani nimejiuliza saana
 
Just kusaidiana tu wakuu,mtu aquote post ya desa la troublemaker hapo juu ili nichungulie almasi maana hii device ninayoitumia haikuzi capture mpaka nitumie mgongo wa aliyequote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…