Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwa tz hakuna app hiyo ni ya Ghana
 
Msaada no za customer care za
Mkeka bet plz
Nimedeposit 7000 kw ac yng imetoka kwa Tigo Pesa lakin kwa mkeka bdo aijafika nimewapigia tigo wanadai tatizo lipo kwa mkeka bet
 
habarini wakuu, hivi option ya "A half with most goals" 1xbet nitaipataje? IPO kwa jina gani?
 
Bayern Munich [emoji818]
Tottenham [emoji818]
Everton vs Liverpool (1/2) [emoji818]
Frolla Tallinn [emoji818]
Shaktar donestic [emoji818]
 
single bet na mtaji uwe nao nd utaona faida ya kubet ,kwenye pesa weka pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…