Bet chali Punda kafa na mzigo haujafika,dah kazi kweli ngumu,samahani km kuna aliyefuata nà nampa pole kwa kupoteza stake yake,mtanisamehe mi mambo ya single bet siwezi hivyo itabidi haya matreni niwe nayaendesha kimyakimya nisije wapoteza watu aisee.Jamani miongoni mwa zile za kuwahi ,Lunch time.View attachment 737129View attachment 737130
Bet chali Punda kafa na mzigo haujafika,dah kazi kweli ngumu,samahani km kuna aliyefuata nà nampa pole kwa kupoteza stake yake,mtanisamehe mi mambo ya single bet siwezi hivyo itabidi haya matreni niwe nayaendesha kimyakimya nisije wapoteza watu aisee.
Bet chali Punda kafa na mzigo haujafika,dah kazi kweli ngumu,samahani km kuna aliyefuata nà nampa pole kwa kupoteza stake yake,mtanisamehe mi mambo ya single bet siwezi hivyo itabidi haya matreni niwe nayaendesha kimyakimya nisije wapoteza watu aisee.
HahahaaaaBet chali Punda kafa na mzigo haujafika,dah kazi kweli ngumu,samahani km kuna aliyefuata nà nampa pole kwa kupoteza stake yake,mtanisamehe mi mambo ya single bet siwezi hivyo itabidi haya matreni niwe nayaendesha kimyakimya nisije wapoteza watu aisee.
Huyu liverpool leo double chance ilikuwa muhimu sana kwake.....
dah anachana mkeka liverpool
Nilimpa double chance huyu.... hii mechi inaeza kuisha drawdah anachana mkeka liberpool
Bet wonliverpool nilimpa 2.5 under inakuaje wakuu
mara yangu kubet nauliza ikiwa under 2.5 or 1.5 under wakitoka bila kufungana inakuje mkuuBet won
Ni suala la lugha tu hapo kaka....ukishasema under maana yake chini ya hiyo idadi iliyosema...kwa maana hiyo game ikiisha 0-0 maana yake jumla ha magoli ni 0 ambayo ni under 1.5 na pia under 2.5mara yangu kubet nauliza ikiwa under 2.5 or 1.5 under wakitoka bila kufungana inakuje mkuu
under 2.5 magoli yawe kuanzia 0 mpk 2 hapo umekulamara yangu kubet nauliza ikiwa under 2.5 or 1.5 under wakitoka bila kufungana inakuje mkuu
Umewinmara yangu kubet nauliza ikiwa under 2.5 or 1.5 under wakitoka bila kufungana inakuje mkuu
Nashukuru mkuu alafu m-bet application sioni option ya 2+ full time.Naona 1half na 2 sec half. Hello msaadaUmewin