Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huyo Toto Africa nahisi nae anataka kuzibua mtaro wa maji taka watu tumwagike maana mwendo wake unatia hofu.Mi kuna ka treni kanasogea sema kanaslide utadhani kanatembea kwenye matope.
Screenshot_2018-04-07-18-04-32.jpg
 
Acha iitwe kamari aisee..iko pesa mingi sana ..just imagine weekend kama hii game kibao..lakini vilio haviishi..halafu wanajua kabisa tamaa ndio zinapelekesha watu.
 
INPLAY
NK RUDES — NK OSIJEK Halftime - Total Over 1st Half (0.5) Goal
2.10
 
Huyo Toto Africa nahisi nae anataka kuzibua mtaro wa maji taka watu tumwagike maana mwendo wake unatia hofu.Mi kuna ka treni kanasogea sema kanaslide utadhani kanatembea kwenye matope.View attachment 737442
Jamani safari yangu imeishia hapo kwa Qarabag Agdam nilimpa ashinde zaidi ya goli moja 2nd half yy kapiga kimoja tu,Basi tena shetani akalale nae.
 
Huyu Liverpool jamani duh
kaniaribia siku huyu umbwa, kuna mdau alitoa tips liverpool, buyern na tottenham all 2+ nikajilipua na 10k
baada ya kuona haeleweki nikaamua ku cashout, iyo amount iliyokuja ni buku gwala nikachoka kabisa.....
 
Back
Top Bottom