theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,731
Huu mkeka uliuweka humu ndani mkuu£1 = 3187.77 tsh
2, 276,000 tsh.
Huu mkeka uliuweka humu ndani mkuu£1 = 3187.77 tsh
2, 276,000 tsh.
Hapana, nilinyofoa timu moja moja ktk tips zilizowekwa humu asubuhi nikawekeza £2Huu mkeka uliuweka humu ndani mkuu
Sawa boss Leo umepata pesa tamu sana kwa buku 6 tuHapana, nilinyofoa timu moja moja ktk tips zilizowekwa humu asubuhi nikawekeza £2
usimini kila tips zinazoletwa hum changanya na zako! kuna member mmoja daily anashusha tips sijui yeye anabetigi SAA ngapikaniaribia siku huyu umbwa, kuna mdau alitoa tips liverpool, buyern na tottenham all 2+ nikajilipua na 10k
baada ya kuona haeleweki nikaamua ku cashout, iyo amount iliyokuja ni buku gwala nikachoka kabisa.....
Dah hongera sana mkuu....wakati mwingine ukiweka ngumu kumeza kama hizi utukumbuke maana wengine hatuna mitaji ya single bet£1 = 3187.77 tsh
2, 276,000 tsh.
35+ odds zimeyeyuka[emoji24]Hii kazi inataka subira sana....leo tena Crusaders peke yake amesepa na 35+ odds 4
hahhahaa mjomba hao niliwac2kia mapema nilitaka kuwapa double chance machale yakanicheza nikamcancelRoma nae ameamua kumwaga mboga
BET LOSEINPLAY
NK RUDES — NK OSIJEK Halftime - Total Over 1st Half (0.5) Goal
2.10
Man city kanyaaaa
Upo dunia gani mkuuHii match ilichezwa jana!!
Man city kanyaaaa
Yuko Liverpool atazoa c ndiye aliyembikiriii...Man u wakazoe