Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

In play

Italy

Udenese vs Lazio

First half corners: Udenese under 2.5

Odds: 2.34

Stake: 5% OYC
 
Toka jana mkuu wakati leo nilitaka niitumie hiyo hiyo kuendelea na kazi
Nikutoe shaka:

Hakuna MTU anaezibana pesa zako.

Kaz za kuconfirm mikeka na kulipa pesa Inafanywa na computer systems automatically.

Suala lako ni kudelay kwa mfumo, mda wowote pesa itaingia.

Ukikaa kuwaza pesa iliyoko uko unajipotezea tu mda wa kutenngeneza pesa zaid.

Na wao wao hawana cha kukujb Zaid ya kusubr mfumo wao ufanye kazi yake.

Binafs hayo matatzo yamenikuta sn, mpk sasa nna pesa elfu 90 iko pending 1xbet tangu 20th Jan 2019.

Ila nmeachana nayo naendelea na kazi

ILI UFANIKIWE KTK BIASHARA,
USIANGALIE UMEPOTEZA KIAS GANI,

CHA MUHIMU,
NI KUANGALIA UNAINGIZA KIASI GANI.
 
Mkuu laki mbili nyingi sana usawa wa magu huu, tunawekeza kwenye hii michezo tunaliwa sana tu lakini inapotekea tumekula tulipwe namapema pia.
 
Mkuu laki mbili nyingi sana usawa wa magu huu, tunawekeza kwenye hii michezo tunaliwa sana tu lakini inapotekea tumekula tulipwe namapema pia.
Pole sana mkuu!

Just relax

Kukaa na kuiwazia pesa iliyoko pending, Hakutakuingizia pesa mfukoni.

Zaid Zaidi ni kujpotezea tu muda.

Hii ni kama kua na duka

Alafu mteja kanywa soda na kaondoka hajalipa.

SIAMINI KAMA

UTAWEZA UTAWEZA KUFUNGA DUKA LAKO NA KUSITISHA KABISA MAUZO

UKIKIMBIZANA NA KUSHIKANA MASHATI NA YULE MTEJA MPAKA PALE ATAKAPOLIPIA ILE SODA ALO KUNYWA.

ETI NDO UFUNGUE TENA BIASHARA

****UKIFANYA HIVO, HAPO UTAKUA UNAPOTEA KABISA KIBIASHARA MKUU***
 
Wakuu nini tofauti ya under 2 na under 2.5 kwenye 1xbet?
Under 2 goals:
Jumla mechi isizidi goli 1, ila yakitokea magoli 2 tu UTARUDISHIWA STAKE YAKO

Under 2.5 goals
Jumla mechi isizidi magoli 2, Ila yakitokea magoli 3 na kuendelea UTAKUA UMECHANIKA
 
Kuna muda huwa nahisi kama kiini macho, yani leo nilijua nacheza Al AHly nakuja kucheki slip eti niliweka Zamalek na amechana peke ya yani. Sa cjui hata macho yaliangalia vipi wakat lengo lilikua kucheza Al Ahly
 
upload_2018-4-8_20-36-28.png

Hata cjui nilimuweka vipi, maana nia yangu ni kumuweka Al Ahly na mpaka muda huu naingia kuchungulia nilikua najua nilimuweka Al Ahly
 
Back
Top Bottom