Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

In play

Laliga

R.sociadad vs Girona

Yellow card:
Girona over 1 yellow card full time

Odds: 1.45

Stake: 10% OYC
 
View attachment 738380
Hata cjui nilimuweka vipi, maana nia yangu ni kumuweka Al Ahly na mpaka muda huu naingia kuchungulia nilikua najua nilimuweka Al Ahly
Pole sana mkuu,

Huyo al ahly niwah kujichanganya kipind flan


Badala ya kumpa win Al ahli wa Saudia Arabia

Eti nkampa Al ahli wa Misri

Jamaa angu ananpgia anambia "BET WON"

Nkicheck Kwangu, inasomeka "LOST"

NLIUMIA SANA AISEE
 
WAKUU NINA KA MKEKA KANGU HAP NILIWEKA TIMU 6,SASA 4 ZIMETIKI,ZIMEBAKI 2,VALENCIA WIN NA SPORTING CP WIN INAKUJA ALMOST ELF 70,SASA JAMAA WANANITAKA NIKAUZE KWA SH 24,VIP USHAURI SAHIHI NI UPI,WAKUU?..
IMG_20180408_205735.jpg
 
In play

Laliga

R.sociadad vs Girona

Full time:
R.socieadad under 3.5 goals at full time

Odds: 1.35

Stake: 20% OYC
 
Kuna muda huwa nahisi kama kiini macho, yani leo nilijua nacheza Al AHly nakuja kucheki slip eti niliweka Zamalek na amechana peke ya yani. Sa cjui hata macho yaliangalia vipi wakat lengo lilikua kucheza Al Ahly
Hii imenitokea pia juzi kwene wachina nampa mwingne nakuta mwingne, niulimia sana
 
Back
Top Bottom