kambitza
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 2,045
- 1,326
Argentina. Primera B Nacional
Villa Dalmine - All Boys (1 Half)
Total Under (0.5)
Odds
1.43
BET WON
Argentina. Primera B Nacional
Villa Dalmine - All Boys (1 Half)
Total Under (0.5)
Odds
1.43
Acha tamaaDuuh Mkuu Valencia 1:0 nimechengana na gari la mshahara[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3]
Tenerife - Sevilla II
Total Under (2.5)
Odds
1.26
Naifatilia kwa makini hapa dstv ipo channel 430 ninahitaji Over 1.5, dah so far bado hawafunganiWale wanaotumia Azam TV
Game ya Milan inaonyeshwa Live kwny "Rai Italia"
Game iko tight sn hiiNaifatilia kwa makini hapa dstv ipo channel 430 ninahitaji Over 1.5, dah so far bado hawafungani
Milan atashinda kwa ushind kiduchu sana wa goli moja dk ya 80Game iko tight sn hii
May God bless u
Keshapigwa mimba huko.... nilikuwa nataka niwape sassulo ushindi kwa inplay moyo ukawa unasita sijamaliza hata dakk mbili akawa keshafunga goal moja na alikuwa na odd 11Milan atashinda kwa ushind kiduchu sana wa goli moja dk ya 80
Marseille wakininyima pesa leo sitawabetia tena!!Naona wanaruka ruka tu hata Over 1.5 zinawasumbua wakati wako nyumbani
View attachment 738467
Mkuu hii game ninaitazama Marseille wamekosa Magoli ya kipumbavuMarseille wakininyima pesa leo sitawabetia tena!!Naona wanaruka ruka tu hata Over 1.5 zinawasumbua wakati wako nyumbani
View attachment 738467
MKUU NIMEKUBALI MKUU ... NILICHEZA CORNER OVER 12.5 odds 2.45 [emoji818][emoji818][emoji818]My Advice
Chukua hiyo elf 24
Hii game ya Valencia inawz kuchana
*******LOST******In play
France
Marseile vs Montpelier
Race to 7 corners- Marseille
Odds: 1.60
Stake: 7% OYC
Pamoja sana,MKUU NIMEKUBALI MKUU ... NILICHEZA CORNER OVER 12.5 odds 2.45 [emoji818][emoji818][emoji818]
Bet WON
Dah,I will never put Marseille in my betslips!!!Never si kwa pesa hii waliyoninyima aiseeee
Ngoja nilale tu ksho kazini kwa hizi hasira hawa jamaa nawalaani Europa napo watolewe tu hawana maanaDah,
We acha tu
Wapuuz sn hawa
Nlidhan wananichaniaga mm peke angu.
HahahahahahahahahNgoja nilale tu ksho kazini kwa hizi hasira hawa jamaa nawalaani Europa napo watolewe tu hawana maana