jose mjasiriamali
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 1,773
- 1,614
Haaminiki,lolote linaweza kutokea ila kwa alichofanya juzi simuamini tenaDuh kwahyo sio wakupewa ushindi ila naona km msimamo wake mzuri.
Haaminiki,lolote linaweza kutokea ila kwa alichofanya juzi simuamini tenaDuh kwahyo sio wakupewa ushindi ila naona km msimamo wake mzuri.
Steph Curry, dogo kavunja record yake tena ya 3 points per season!
Haaminiki,lolote linaweza kutokea ila kwa alichofanya juzi simuamini tena
Steph Curry, dogo kavunja record yake tena ya 3 points per season!
Ahahah ngoja nimtupilie mbali.👍
Kila lakheri mkuu, ila lolote laweza tokea
asipopata u MVP this season itakuwa mushkeli...
Monaco juzi kaua watu!
Monaco anafungwa 1-0 leo na Caen.Mnasema kuhusu Monaco vs Caen wazee?
asipopata u MVP this season itakuwa mushkeli...
Wanachuana na James Harden, yeyote kati ya hawa ni sawa akichukua.
Monaco anafungwa 1-0 leo na Caen.
Mkuu, point 5 za leo vipi.?
Nasoma mchezo leo, ntatupia odds 3.2 baadae kama saa sita, ila leo naprefer kucheza live zaidi maana kesho ntachelewa job!
Mkuu ukianza live nami nistue maana live ni nzuri.Nasoma mchezo leo, ntatupia odds 3.2 baadae kama saa sita, ila leo naprefer kucheza live zaidi maana kesho ntachelewa job!
Nasoma mchezo leo, ntatupia odds 3.2 baadae kama saa sita, ila leo naprefer kucheza live zaidi maana kesho ntachelewa job!
Wajameni kwa heshima na taadhima kubwa naomba nilete ombi langu kwenu....ninaombeni odds tano tu za kesho. Natanguliza shukrani. Nb. Nimechoka kuliwa jamani .
Ha ha ha! Hakuna odds za uhakika mkuu, chochote kinatokea.