Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

nasemaga hiviiii KWANI UKIBETI 5000 UPATE 30000 KUNA HASARA!!!!! 5000 UPATE 15000!!!! UNA HASARA.......!!!!!! TATIZO WATU MNATAKA 1000 ULE 500000 ..........

Nimepigwa mchana kuna mkeka nilitia dau hilo ile mechi ya hao Newcastle jets inaanza tu nikapigwa sijui nilianzaje kuwaweka nikaona wacha nijaribu hao naona wametiki ndio nabaki kusema LAITI KAMA NINGEJUA kumbe NINGE ni mtaji wa hasara, sio mbaya kesho nayo siku na mechi za maana.............. TUOMBEANE UZIMA TU TUAMKE SALAMA NDUGU.
 
Veracruz,guarani na Dallas..odds 3.2 (nmezichungza hizo timu)

mechi saa nane nane na nusu na saa kumi....eka 5000 uamke na 15000
 
Odd 4 point kadhaa sio 3.2....kwio 5000 kwa 20000 yani ongezeko la 15000
 
Halaf hii option ya both teams to score ni nzuri xana endapo utazichunguza timu unazotaka kuplace bet yako.Leo nimecheki 4 the 1st time nikaselect timu nne ambapo total odds ilikua ni 11.8 kama zali vile nikamnyorosha mhindi ila najuta coz niliweka stake ndogo xana(2000) ila atleast imeongeza mtaji

Tukutane baadae guys ngoja nilale
 
wale wa meridian kesho hizi double bet
psg win & 3+
arsenal win & 3+
juve win & 3+

odds 11......
 
Hapo vip.......
Totenam win
Ipswich win
Middlesbrough win
watford win
Bristol Rover win
Grimsby win
 
Karibu sana kamanda... Hii ni zaidi ya mada... Ni kazi kama kazi nyingne... Tumia akili

Hii ni kazi na ni ajira kweli. Ukipanga uweke odds 3 kila siku na ukatia 10000/= utapata elfu 30000/= hapo unaendelea na mtaji wako wa elfu kumi, inabaki elfu 20. Elfu tano ya vocha then elfu 15 unasave. Huwezi kula kila siku piga hesabu kuwa kwa mwezi wenye siku 30 utakula siku 15 na siku 15 utaliwa. Ukila siku 15 na unasave sh elfu 15 ina maana mwsho wa mwez utakuwa na shilingi laki mbili na elfu 25. Hilo ndo litakuwa pato lako la mwezi.
Kwa pato hilo utakuwa sawa na mtu mwenye bodaboda anayesubili hesabu yake nyumbani.
NADHAN MMENIELEWA

BETTING NI AJIRA JAMANi Kama ajira nyingine. Tupambaneni na tusibet kwa tamaa
 
Hii ni kazi na ni ajira kweli. Ukipanga uweke odds 3 kila siku na ukatia 10000/= utapata elfu 30000/= hapo unaendelea na mtaji wako wa elfu kumi, inabaki elfu 20. Elfu tano ya vocha then elfu 15 unasave. Huwezi kula kila siku piga hesabu kuwa kwa mwezi wenye siku 30 utakula siku 15 na siku 15 utaliwa. Ukila siku 15 na unasave sh elfu 15 ina maana mwsho wa mwezbutakuwa na shilingi laki mbili na elfu 25. Hilo ndo litakuwa pato lako la mwezi.
Kwa pato hilo utakuwa sawa na mtu mwenye bodaboda anayesubili hesabu yake nyumbani.
NADHAN MMENIELEWA

BETTING NI AJIRA JAMANi Kama ajira nyingine. Tupamvaneni na tusibet kwa tamaa

Yeah umenena vyema, na wapo walionufaika sana na hii kitu,
 
Back
Top Bottom