Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii ni kazi na ni ajira kweli. Ukipanga uweke odds 3 kila siku na ukatia 10000/= utapata elfu 30000/= hapo unaendelea na mtaji wako wa elfu kumi, inabaki elfu 20. Elfu tano ya vocha then elfu 15 unasave. Huwezi kula kila siku piga hesabu kuwa kwa mwezi wenye siku 30 utakula siku 15 na siku 15 utaliwa. Ukila siku 15 na unasave sh elfu 15 ina maana mwsho wa mwez utakuwa na shilingi laki mbili na elfu 25. Hilo ndo litakuwa pato lako la mwezi.
Kwa pato hilo utakuwa sawa na mtu mwenye bodaboda anayesubili hesabu yake nyumbani.
NADHAN MMENIELEWA

BETTING NI AJIRA JAMANi Kama ajira nyingine. Tupambaneni na tusibet kwa tamaa

Darasa huru kamanda...
 
Wakuu hapa vipi
 
Attachments

  • 1428737479624.jpg
    1428737479624.jpg
    44.1 KB · Views: 305
Hii ni kazi na ni ajira kweli. Ukipanga uweke odds 3 kila siku na ukatia 10000/= utapata elfu 30000/= hapo unaendelea na mtaji wako wa elfu kumi, inabaki elfu 20. Elfu tano ya vocha then elfu 15 unasave. Huwezi kula kila siku piga hesabu kuwa kwa mwezi wenye siku 30 utakula siku 15 na siku 15 utaliwa. Ukila siku 15 na unasave sh elfu 15 ina maana mwsho wa mwez utakuwa na shilingi laki mbili na elfu 25. Hilo ndo litakuwa pato lako la mwezi.
Kwa pato hilo utakuwa sawa na mtu mwenye bodaboda anayesubili hesabu yake nyumbani.
NADHAN MMENIELEWA

BETTING NI AJIRA JAMANi Kama ajira nyingine. Tupambaneni na tusibet kwa tamaa

kweli mkuu mi nipo chuo xaiv sijapata bumu tokea nianze chuo mwezi wa 10 mwaka jana ila naendesha life la school kwa kazi hii.Kinachotakiwa ni umakini tu
 
Pole sana kwa kuyopata boom. Ila natumai kwa umakini wa kucheza na betting maisha yako yanasonga bila ya wasiwasi. Hongera kwa kupambana
 
Ahsante mkuu ni kupambana tu mpaka kieleweke .Maisha yanaendelea kama kawz kama wengine lkn nyuma ya pazia ni betting
 
Hbr wadau?leo nmekaa kwaajl ya kusoma raman tu lkn naona mpk ss derby anaendelea na upuuz wake.
 
Back
Top Bottom