Aise niliwapa washinde kipindi cha pili wameniangusha wamesepa na 25000 ila sio kesi mapambano yanaendelea....
Hongera mkuu... hatimae wameshinda ila kwa ushindi mdogo....Niliweka jiwe washinde
Hongera mkuu... hatimae wameshinda ila kwa ushindi mdogo....
Mimi kwa upande wangu wameniangusha
Mapambano yanaendelea ngoja niisubili hiyo kesho maana wikiend hii mambo hayakuwa poa kabisa....Asante Mkuu na pole sana. Ushindi mwembamba Aiseee!!..
UshakulaSimba nimewawekea mtaji woteeee ***** Roho mpaka inataka kuchomoka.
Kama hukuweka mkeka poleWazee simba anashinda hii game ana odd 2 hapa nataka niweke elfu 50 nipate laki....
One day YES chief!Graph sio mbaya mkuu japo anakuotea kama hivi.
Nilikuwa nasita mzee... ikanibidi niweke kipindi cha pili kuwa atashinda kumbe kashaniwekea bait [emoji2] [emoji2] [emoji2] anyway fresh....Kama hukuweka mkeka pole
Al-Ansar Beirut - Dhofar S.C.S.C.
Total Under (3)
Odds
1.28
Mkuu..hii ni kampuni gani unatumia ku bet?
Premierbet ChiefMkuu..hii ni kampuni gani unatumia ku bet?
ThanksPremierbet Chief
Pole sana Chief, piga namba hii hapa: 0764 700 700Mmh,siamini kama hakuna mdau mwenye contacts za premier bet,maana mpaka sasa tangu saa 6 naomba msaada huo lkn sipati.
Mkuu Zinakera sana hizi post zao, bora Mods waweke tangazo juu ya uzi huu, maana daily kelele za group group as if there is something special cha tofauti na hapa uko ktk hizo group za whtsapp[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]...shida kweli...
Wadau mbona app yangu ya 1xbet haifungui kabisa
Mauaji, kutekwa na kupotea sana kwa wenzetu mtaani ni tishio sn kipind hiki.Mkuu Zinakera sana hizi post zao, bora Mods waweke tangazo juu ya uzi huu, maana daily kelele za group group as if there is something special cha tofauti na hapa uko ktk hizo group za whtsapp
Cc Innovator