Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Galatasray naona kalambishwa chumvi na timu ya mkiani huko....

Itambidi nimpe ban ya maisha maana sio kwa kunikosesha mpunga...
 
In play

Laliga

Villareal vs Bilbao

First half corners: Bilbao under 4.5 corners

Odds: 1.51

Stake: 10% OYC
 
In play

Bundesliga

Rb lipzg vs B.Livercuzen

Shots on target Handicap: RB lipzig (+2.5) at full time

Odds: 1.98

Stake: 10% OYC
 
Inplay

Bundesliga

RB vs Livercuzen

Yellow card: Over 1 yellow card full time time

Odds: 1.68

Stake: 10% OYC
 
Duh,
Hii mechi ya RB lipzg imekua ya kipuuz sana.

Imekosa hata yellow card Moja mpk full time time time inaisha
 
RB Sio Kupigwa Dole Kuleee
******* Wamefanywa Mapenzi mbele ya Wakwe zao Mchana Kweupeeee.
Sio poa
 
Simba nimewawekea mtaji woteeee ***** Roho mpaka inataka kuchomoka.
Hilo kosa usirudie tena mkuu, Matokeo mazuri hayawezi kuwa upande wako kila siku. Lililotokea leo lisikushawishi ukarudia tena, unavyotaka kupata nyingi kwa haraka ndivyo utavyopoteza kwa haraka.
 
Mi kuna mshkaji aliniunga kwenye hayo magroup ya WhatsApp sikuona lolote zaidi ya msg za madudu tu,sijakaa vizuri naona mtu kanifuata inbox ananipiga kizinga cha buku3 wkt ndo nina km dk 7 tu nimeunganishwa eti anadai yuko safarini kwenda Dodoma kikazi hivyo alisahau Ku topup M-PESA yake ,dah nikasema kimoyomoyo mshkaj wangu kanifanyia ukhanithi kuniunga ktk magroup ya kichawi haya nikaleft na kulifutilia mbali.Huko waache waende Watu wazima tutabanana humuhumu.
 
Hilo kosa usirudie tena mkuu, Matokeo mazuri hayawezi kuwa upande wako kila siku. Lililotokea leo lisikushawishi ukarudia tena, unavyotaka kupata nyingi kwa haraka ndivyo utavyopoteza kwa haraka.
Imesha ni cost sana hii ushauri perfect kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…