Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
blackburn week mbili hizi hayuko poa**** you blackburn
blackburn week mbili hizi hayuko poa**** you blackburn
Blaza huku Slip 2 kama ulistake single single bila shaka umeondoka na mkwanja kiainaSlip 1.
Rochdale FC v Wigan Athletic
Halftime Fulltime - 2/2 3.08
AS Roma v FC Barcelona
Halftime Fulltime - 2/2 2.29
Manchester City v Liverpool FC
Halftime Fulltime - 1/1
Total odds: 13.89
slip 2
Rochdale FC v Wigan Athletic
Halftime Fulltime - 2/2 3.08
AS Roma v FC Barcelona
Halftime Fulltime - 2/2 2.29
Manchester City v Liverpool FC
Halftime Fulltime - 1/2
Total odds: 297.79
Amenyima laki mbili mkuu peke yake amenitia hasirablackburn week mbili hizi hayuko poa
Mkuu 1×bet hawanitumii sms code nikitaka ku withdraw pesa sijui kunatatizo gani tu nisaidie please.Wakuu,
Aisee, amaa kweli.
UEFA haihitaji mbwembwe.
Kwa haya matokeo ya Leo,
WAZEE WA MIKEKA, TUTALALA USINGZ MBAYA USIKU WA LEO.
ILA
WAZEE WA KATALUNYA LEO WANALALA USNGZ MBAYA SANA MWAKA MZIMA
Bila kusahau
WAZEE WA MUJINI "CITY BOYZ" WAO WATALALA USNGZ MBAYA ZAIDI MSIMU HUU MZIMA
#### BET & PLAY RESPONSIBLY ####
Kwa matokeo ya leo, usinywe Mkuu, utakutana na Israel na utaondoka kama Barcelona alivyoondoka.Hivi nimemaliza mseto jana nikipiga konyagi vipi
duh we acha tu nashukuru uefa wote niliweka 3+ japo odd zilitoka kiduchu but nimeambuliaWakuu,
Aisee, amaa kweli.
UEFA haihitaji mbwembwe.
Kwa haya matokeo ya Leo,
WAZEE WA MIKEKA, TUTALALA USINGZ MBAYA USIKU WA LEO.
ILA
WAZEE WA KATALUNYA LEO WANALALA USNGZ MBAYA SANA MWAKA MZIMA
Bila kusahau
WAZEE WA MUJINI "CITY BOYZ" WAO WATALALA USNGZ MBAYA ZAIDI MSIMU HUU MZIMA
#### BET & PLAY RESPONSIBLY ####
Inatokea mara kwa mara kipind ambacho kuna mechi nyng au big matches kama hii ya Leo.Mkuu 1×bet hawanitumii sms code nikitaka ku withdraw pesa sijui kunatatizo gani tu nisaidie please.
Mkuu kunajamaa yangu naye anasumbuka toka juzi hatoi pesa kwasababu hiyoInatokea mara kwa mara kipind ambacho kuna mechi nyng au big matches kama hii ya Leo.
System kwa sasa inakuaga bize sana kufanya payments dunia MZIMA maana mikeka mingi kwa Leo inaishia mida hii.
Kua mpole hadi alfajr ndo utoe pesa.
Mida hii sio mizur kuwithdraw maana traffic ni kubwa sn.
Unawz jikuta system ina cease, ikasababisha withdraw request yako ikawekwa pending mpk wiki 2 na ZAIDI.
Ushaur:
Kipind cha UEFA na weekend yenye big match nyingi hasa hasa zinazocheza late times
Ni vema kuwithdraw alfajir au asubh kabisa kumeshakucha.
Duh,duh we acha tu nashukuru uefa wote niliweka 3+ japo odd zilitoka kiduchu but nimeambulia
Mkuu nilimkosakosa kanji inplay sema kwenye account nilikuwa sina pesa alivyo fungwa Liverpool 1 odds zikapanda na kufika 15 kwahiyo nilitaka nimpe tena pesa maana roho yangu ilitakata kabisa kuwa city anapgwa, bdo double chance ilikuwa na odd 5+ dah leo nimeikosakosa pesa leo right account yangu ingekuw na pesa leo ningekubali kupoteza.Duh,
Mm nmeshndwa hata kucheza in play,
Nmebaki tu kukodolea miujiza iliyokua inafanyika uwanjani.
Istoshe hata ningejitosa kubet pre- match, Kwa matokeo haya.
NINGEKULA HASARA SANA
Kama alifanya request mida yenye traffic kubwa.Mkuu kunajamaa yangu naye anasumbuka toka juzi hatoi pesa kwasababu hiyo
On pointNarudia kusema tena Barca si team ya kuiamini ktk michuano mikubwa mikubwa nje ya laliga, players wake wanaishia, Iniesta wa leo sio yule wa 2014, Busquet nk. Messi na Suarez tu ndio wakuokoa jahazi na wao wakishikwa kazi imeisha. Just imagine kutoka na kua na watu wa defence kama Maschearano mpaka kua na machizi wakina UMTITI.........poleni wadau
On point