Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,722
- 11,336
Mikeka itakuwa imechanika mingi Kwa upande wa UCL
Mkuu 1×bet hawanitumii sms code nikitaka ku withdraw pesa sijui kunatatizo gani tu nisaidie please.
Wameniambia nijaze national identity kwanza sasa nnakitambulisho cha mpiga kura hapa sijui nakijazajeKama unatumia Web nenda pale pameandikwa Call Back click watakupigia utawaambia watakurekebishia.
Mkuu kunajamaa yangu naye anasumbuka toka juzi hatoi pesa kwasababu hiyo
Wameniambia nijaze national identity kwanza sasa nnakitambulisho cha mpiga kura hapa sijui nakijazaje
Unazipatia wapi?Mimi nimeweka Passport Number
Wameniambia nijaze national identity kwanza sasa nnakitambulisho cha mpiga kura hapa sijui nakijazaje
Ndio nimewekaJaribu hizo namba zipo kwa chini kwenye kitambulisho cha mpiga kura.
Naona slip 2 Barcelona kaniaribia odds 297.79? siyo mbaya its a gambling game ngoja tuvute pumvi.Slip 1.
Rochdale FC v Wigan Athletic
Halftime Fulltime - 2/2 3.08
AS Roma v FC Barcelona
Halftime Fulltime - 2/2 2.29
Manchester City v Liverpool FC
Halftime Fulltime - 1/1
Total odds: 13.89
slip 2
Rochdale FC v Wigan Athletic
Halftime Fulltime - 2/2 3.08
AS Roma v FC Barcelona
Halftime Fulltime - 2/2 2.29
Manchester City v Liverpool FC
Halftime Fulltime - 1/2
Total odds: 297.79
Kama unatumia Web nenda pale pameandikwa Call Back click watakupigia utawaambia watakurekebishia.
Nilikufata mkuu, siyo mbaya leo nayo siku>>>>.Naona slip 2 Barcelona kaniaribia odds 297.79? siyo mbaya its a gambling game ngoja tuvute pumvi.
Nasikia Solution ni """Uwapigie Wakutajie Izo namba"""Wakuu naomba mnisaidie saiv watu wanatoaje pesa? Maana 1×bet hawatumi sms code sijui kwanini.
Ulete mrejesho Mkuu.Ndio nimeweka