Edger ngassa
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 294
- 239
Naombe ushauri jaman nataka niweke mkeka wa sh100000 kwa mech mbl 2 Bayen vs sevilla na Real madrid vs Juventus uxhauli jaman kwa wale wataramu wa mambo
Bayen mpe direct WinNaombe ushauri jaman nataka niweke mkeka wa sh100000 kwa mech mbl 2 Bayen vs sevilla na Real madrid vs Juventus uxhauli jaman kwa wale wataramu wa mambo
Xaw bro afu nataka niweke miwil na ule wa both teams will score kwa sh 100000Bayen mpe direct Win
Madrid mpe double chance 1x
Kesho nitumie 4000.
Naombe ushauri jaman nataka niweke mkeka wa sh100000 kwa mech mbl 2 Bayen vs sevilla na Real madrid vs Juventus uxhauli jaman kwa wale wataramu wa mambo
Nipe tips nyingne za half time ana full timeChomoa 10k utupie saa2 na nusu usiku usubirie 385.8k game inaanza saa 12 na nusu!wakati unasubria za usiku!
BK Fremad Amager v Viborg FF
Halftime Fulltime - 2/1
odds 38.58.
Hapa hiyo option sijaielewa mkuuChomoa 10k utupie saa2 na nusu usiku usubirie 385.8k game inaanza saa 12 na nusu!wakati unasubria za usiku!
BK Fremad Amager v Viborg FF
Halftime Fulltime - 2/1
odds 38.58.
Hujaelewa nn hapo?ht/ft 2/1Hapa hiyo option sijaielewa mkuu
Hiyo negative ndio imenichanganya mkuuHujaelewa nn hapo?ht/ft 2/1
Hahaha aya hope umejuaHiyo negative ndio imenichanganya mkuu
half time - Viborg ashinde either kwa 0-1, ama 1-2 (zaidi ya Fremand)Nipe tips nyingne za half time ana full time
Tunaita ngumu kumeza...half time - Viborg ashinde either kwa 0-1, ama 1-2 (zaidi ya Fremand)
then Kipindi cha pili Fremad Amager aanze yapangua adi hamzidi, either 2-1, ama 3-2 ambayo Full time itakuwa Home time win.
Option ngumu sema inalipa sana.Lazima uwe risk taker kidogo,
Mfano mzuri Refer game ya Man city na Liverpool - 1/2
Halftime - Man city won
Fulltime - Liverpool akawon.
Naijua ila kwenye premier betting haipo kama unayo nyingne freshhalf time - Viborg ashinde either kwa 0-1, ama 1-2 (zaidi ya Fremand)
then Kipindi cha pili Fremad Amager aanze yapangua adi hamzidi, either 2-1, ama 3-2 ambayo Full time itakuwa Home time win.
Option ngumu sema inalipa sana.Lazima uwe risk taker kidogo,
Mfano mzuri Refer game ya Man city na Liverpool - 1/2
Halftime - Man city won
Fulltime - Liverpool akawon.
Tunaita ngumu kumeza...half time - Viborg ashinde either kwa 0-1, ama 1-2 (zaidi ya Fremand)
then Kipindi cha pili Fremad Amager aanze yapangua adi hamzidi, either 2-1, ama 3-2 ambayo Full time itakuwa Home time win.
Option ngumu sema inalipa sana.Lazima uwe risk taker kidogo,
Mfano mzuri Refer game ya Man city na Liverpool - 1/2
Halftime - Man city won
Fulltime - Liverpool akawon.
Juve mpe WIN'DrooBayen mpe direct Win
Madrid mpe double chance 1x
Kesho nitumie 4000.
play slip no 3 safe. Tupia hata laki1 .Naijua ila kwenye premier betting haipo kama unayo nyingne fresh
Na leo mkuuGame hizoView attachment 740077
Kaka Kipusa Fremad 1st half anaongoza 2-0. 2nd half Viborg akifanya come back ya 2-3 au 2-4 we jamaa utakuwa mchawi. Let's waitChomoa 10k utupie saa2 na nusu usiku usubirie 385.8k game inaanza saa 12 na nusu!wakati unasubria za usiku!
BK Fremad Amager v Viborg FF
Halftime Fulltime - 2/1
odds 38.58.