Juve hawez kufuzu
Madrid ni timu inayofungika kirahisi
Ila
Madrid ni timu ambayo ni ngumu sana kuizuia isikufunge goli.
SHUGHULI ITAKUA PEVU KWA JUVE MARA TU MADRID ATAKAPOPATA GOLI Moja.
****Nna imani watatoka mchezoni, na morali yao itashuka sana****
Wataanza kucheza foul za kipuuzi, zitakazoweza kuwagharimu
Hii itapelekea Madrid kupata nafas yakufunga zaidi.
My Take
Hii game second half itakua upande WA madrid
Double chance kwa madrid full time itafaa sana japo kwa stake ya tahadhari maana odds yake inaridhisha.