Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Asante kanji kwa kunipa ela thupuu
IMG_20180412_002633.JPG
 
Huyo refa hii kitu itamtafuna maisha yake yote..mse.nge sana refa,..
Refa aliwabeba sana juve nahisi Iyofaulu Mungu aliitoa makusudi maxima kuona km napo bado refa ataipotezea ilikua halali KABISA.
 
Jamani mikeka yangu xbet inafutika tu yenyewe nikiamka asbh skut kitu sjui tatizo nn,wao wanadai hawafuti ,wataalam msaada plz.
 
Slip 3
-Tromso IL v Stromsgodset IF
Totals 2.5 - Over1.66

-Nykobing FC v Vendsyssel FF
Totals 2.5 - Over1.56

-NEW YORK CITY FC v Real Salt Lake
Totals 2.5 - Over1.55

-San Pablo Burgos v Morabanc Andorra
Under Over 169.5 (Inc.Overtime) - Over
Total odds: 6.94

LOST sema aliyechambua akukukosa yake sema uyu &&&Nykobing FC v Vendsyssel FF&&
Denmark 1st Division 1-1 (1-0) kazingua
 
Jamani mikeka yangu xbet inafutika tu yenyewe nikiamka asbh skut kitu sjui tatizo nn,wao wanadai hawafuti ,wataalam msaada plz.

Hawafuti ndiyo kuna sehemu inajihifadhi kila siku inapoisha yaani ikifika tu Saa 12:00 Usiku Inajihifadhi sehemu ya juu hapo nilipozungushia Duara jekundu kwa hiyo kaclick hapo utachagua Tarehe ya mikeka husika unayotaka kuiona.
IMG_1839.JPG
 
Wakuu msaada nime deposit mtonyo kwenye 1xbet kwa kutumia tigopesa but hela haijafika adi now. Hivyo msaada wa mawasiliano yao au namna ya kuzipata hela zangu natanguliza shukran [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Jana tigopesa walikuwa wanazingua
 
Back
Top Bottom