Ingekuwa ni rahisi hivyo hata kwa pesa yako ungekuwa unakula sana, unatakiwa ubeti sio chini ya game tatu zenye odds kuanzia 1.4 na kuendelea na unatakiwa ufanye hivyo mara tatu ndipo utakapokuwa umefanikiwa kuikomboa bonus yakoKesho ni Lucky Friday kwa watumiaji wa 1xbet, Utapewa bonus ya 100% ya kiwango utachodeposit...Yaani ukiweka laki Utapewa bonus ya laki
Wengi mnadanganywa bonus ya 1xbet ni ngumu Sana kuipata ila haina ukweli wowote Sababu masharti yake ni mepesi sana...na huwa naitumia sana ijumaa kupata mtaji wa weekend bila kutumia hela yangu direct.
Ninachofanya nadeposit let's say Laki napata bonus ya Laki free najitahidi kubet hiyo bonus ukila unarudishiwa Laki yako kwenye main account
Ninachojua unatakiwa ule Mara tatu ya Bonus yako.Mfano umepewa 10,000 ukabet kwa Timu tatu zenye odd zaidi ya 1.4 ukala 40,000 unarejeshewa 10,000.Hiyo ya kubet Mara 3 ni ngeni kwangu.Ingekuwa ni rahisi hivyo hata kwa pesa yako ungekuwa unakula sana, unatakiwa ubeti sio chini ya game tatu zenye odds kuanzia 1.4 na kuendelea na unatakiwa ufanye hivyo mara tatu ndipo utakapokuwa umefanikiwa kuikomboa bonus yako
sijaelewa hapo inamaana kama umepewa 10000 bonus ukazibetia mechi tatu zenye hizo odd ukiwini inakuaje?Ninachojua unatakiwa ule Mara tatu ya Bonus yako.Mfano umepewa 10,000 ukabet kwa Timu tatu zenye odd zaidi ya 1.4 ukala 40,000 unarejeshewa 10,000.Hiyo ya kubet Mara 3 ni ngeni kwangu.
Mfano umepewa 10,000 ukabet ukala 70,000 unatakiwa ubet tena 20,000 ili uspend Mara tatu ya bonus yako,then utabakiwa na 50,000 kwenye account wao watakulipa 10,000 yako..Utakua umekidhi vigezo..sijaelewa hapo inamaana kama umepewa 10000 bonus ukazibetia mechi tatu zenye hizo odd ukiwini inakuaje?
sasa mara tatu ya bonus yako ni 20 au 30?Mfano umepewa 10,000 ukabet ukala 70,000 unatakiwa ubet tena 20,000 ili uspend Mara tatu ya bonus yako,then utabakiwa na 50,000 kwenye account wao watakulipa 10,000 yako..Utakua umekidhi vigezo..
Yaani ukipewa 100 spend 300 kwenye bonus account wao watakulipa 100 yako.
Ni 30..Simple tu mkuu Elewa logic Yao ukipewa 100 spend 300..so ukipewa 100 bet nayo mpaka spending zako zifikie 300 then utapewa 100 yako..hata kama kwenye spending Zako utaliwa bado itaccount tu..sasa mara tatu ya bonus yako ni 20 au 30?
daah naona ina compication nyingi sana naachana nayoNi 30..Simple tu mkuu Elewa logic Yao ukipewa 100 spend 300..so ukipewa 100 bet nayo mpaka spending zako zifikie 300 then utapewa 100 yako..hata kama kwenye spending Zako utaliwa bado itaccount tu..
Mimi bonus nishafanikiwa Mara 3 kuipata..So weekend hii sina mtaji kesho nadeposit let's say Laki napata bonus najitahidi kuiredeem nipate mtaji wa weekend..Nikishindwa Sio mbaya umejaribu.
Haupotezi chochote ukijaribu..Siku usiyotegemea inakupa mtaji wa maana..daah naona ina compication nyingi sana naachana nayo
Kwanini wakati wa kuWithdraw hela, hawatumi SMS CODE hadi Uongee nao?Kesho ni Lucky Friday kwa watumiaji wa 1xbet, Utapewa bonus ya 100% ya kiwango utachodeposit...Yaani ukiweka laki Utapewa bonus ya laki
Wengi mnadanganywa bonus ya 1xbet ni ngumu Sana kuipata ila haina ukweli wowote Sababu masharti yake ni mepesi sana...na huwa naitumia sana ijumaa kupata mtaji wa weekend bila kutumia hela yangu direct.
Ninachofanya nadeposit let's say Laki napata bonus ya Laki free najitahidi kubet hiyo bonus ukila unarudishiwa Laki yako kwenye main account
Duuh! yaan ule 70k, alafu waje kukupa 10k[emoji134]Mfano umepewa 10,000 ukabet ukala 70,000 unatakiwa ubet tena 20,000 ili uspend Mara tatu ya bonus yako,then utabakiwa na 50,000 kwenye account wao watakulipa 10,000 yako..Utakua umekidhi vigezo..
Yaani ukipewa 100 spend 300 kwenye bonus account wao watakulipa 100 yako.
Bet lost mapema sanaLeo natoka hiviView attachment 742702
Nani kachana?Bet lost mapema sana