DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Hata morali ya in play imekata.Hahaha Mkuu balaa nimetumbua macho tu
Nimebaki nashangaa tu
Hata morali ya in play imekata.Hahaha Mkuu balaa nimetumbua macho tu
Hata morali ya in play imekata.
Nimebaki nashangaa tu
Kazikusanya za kutosha aiseeKwa wiki hii ya usiku wa ulaya Kanji ametoa dozi heavy.
Leo I play alichonifanyia grizmanHata morali ya in play imekata.
Nimebaki nashangaa tu
Leo grizman kaninyima pesa ya boxer mpya kwa muhindiAchana na Lazio unaona ujinga wanaofanya Atletico Madrid?...Mtu kabaki na goli anapiga nje mara 2?
Hata m wamenkkosesha hela hawa mbwa yaan magoli n mengi kulko corner pumbavuu yaan kupiga corner tu 8 wanashindwa sji kuwabetia tena pumbavu zaoTimu ya kipuuzi sana hiyo,
Mm nmekua na gundu Nayo tokea mechi ya kwanza tu imeshiriki UEROPA mwaka huu
Sijawahi kula hata slot moja, nliocheza in play inayomuhusu Marseille.
HILI litimu limeongoza kwa kunifilisi pesa zangu kwa kila mechi linayocheza.
MAAMUZI NILIYOFIKIA NI KULIPIGA "BAN"
Hauwezi kubet event moja uweke accumulator ya outcome zaidi ya moja.Msaada,,,nikitaka kubet zaid ya mara moja kwenye game moja nafanyeje kwenye 1xbet??
Ukiuweka hapa ndio vizuri upate ushauri wa wengiNani aje inbox anpe ubashiri wa mkeka wangu