Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Blaza huku Slip 2 kama ulistake single single bila shaka umeondoka na mkwanja kiaina
 
Wakuu,

Aisee, amaa kweli.

UEFA haihitaji mbwembwe.

Kwa haya matokeo ya Leo,

WAZEE WA MIKEKA, TUTALALA USINGZ MBAYA USIKU WA LEO.

ILA

WAZEE WA KATALUNYA LEO WANALALA USNGZ MBAYA SANA MWAKA MZIMA

Bila kusahau

WAZEE WA MUJINI "CITY BOYZ" WAO WATALALA USNGZ MBAYA ZAIDI MSIMU HUU MZIMA

#### BET & PLAY RESPONSIBLY ####
 
Mkuu 1×bet hawanitumii sms code nikitaka ku withdraw pesa sijui kunatatizo gani tu nisaidie please.
 
duh we acha tu nashukuru uefa wote niliweka 3+ japo odd zilitoka kiduchu but nimeambulia
 
Mkuu 1×bet hawanitumii sms code nikitaka ku withdraw pesa sijui kunatatizo gani tu nisaidie please.
Inatokea mara kwa mara kipind ambacho kuna mechi nyng au big matches kama hii ya Leo.

System kwa sasa inakuaga bize sana kufanya payments dunia MZIMA maana mikeka mingi kwa Leo inaishia mida hii.

Kua mpole hadi alfajr ndo utoe pesa.

Mida hii sio mizur kuwithdraw maana traffic ni kubwa sn.

Unawz jikuta system ina cease, ikasababisha withdraw request yako ikawekwa pending mpk wiki 2 na ZAIDI.

Ushaur:
Kipind cha UEFA na weekend yenye big match nyingi hasa hasa zinazocheza late times

Ni vema kuwithdraw alfajir au asubh kabisa kumeshakucha.
 
Mkuu kunajamaa yangu naye anasumbuka toka juzi hatoi pesa kwasababu hiyo
 
Duh,

Mm nmeshndwa hata kucheza in play,

Nmebaki tu kukodolea miujiza iliyokua inafanyika uwanjani.

Istoshe hata ningejitosa kubet pre- match, Kwa matokeo haya.

NINGEKULA HASARA SANA
Mkuu nilimkosakosa kanji inplay sema kwenye account nilikuwa sina pesa alivyo fungwa Liverpool 1 odds zikapanda na kufika 15 kwahiyo nilitaka nimpe tena pesa maana roho yangu ilitakata kabisa kuwa city anapgwa, bdo double chance ilikuwa na odd 5+ dah leo nimeikosakosa pesa leo right account yangu ingekuw na pesa leo ningekubali kupoteza.
 
Narudia kusema tena Barca si team ya kuiamini ktk michuano mikubwa mikubwa nje ya laliga, players wake wanaishia, Iniesta wa leo sio yule wa 2014, Busquet nk. Messi na Suarez tu ndio wakuokoa jahazi na wao wakishikwa kazi imeisha. Just imagine kutoka na kua na watu wa defence kama Maschearano mpaka kua na machizi wakina UMTITI.........poleni wadau
 
Mkuu kunajamaa yangu naye anasumbuka toka juzi hatoi pesa kwasababu hiyo
Kama alifanya request mida yenye traffic kubwa.

Atakua withdraw request yake imewekwa pending

Kinachotokea ni kwamba;

Hizi machine zao nying za payment, zinapotokea zinaelemewa kwa withdra request nyng.

Hii ni kutokana na wao kua na combined system of payment

Yaan ni kwamba machine moja inafanya kazi zote peke zote na kwa wakati mmoja

Maana ake zina receive request,check request,process request & confirm request.

Sasa Zinafikia hatua zina cease, na ikifikia hatua hii.

Machine inahitaj kua refreshed.

Na automatically, machine inalazmika kufanya kwanza cooling.

Ambapo ili cooling iweze kufanyka, ni lazima other process zisimame kwanza.

Hapa, withdraw or deposit request zilizoangukia stage hii na zilizokua zishaanza kushughurkiwa basi zinakua skipped for a moment

Sasa ili system iweze kua secure na isipoteze pesa za wateja walioangukia stage hii kipind system itakaporefresh.

Basi hizo request zote zinawekwa "on pending" Hadi pale request zote zilizokua on right track zitakapomalizika.

SASA TATZO LINAKUJA KWA PENDING REQUEST ZILIZO PENDING.

Hizi sasa, zinakua ni kama zimehifadhiwa nje ya mfumo.

Ambapo zinatakiwa kurudishwa manually kwny mfumo ili ziwe processed upya.

HAPA NDIPO UTAKAPOANZA KUKIMBIZANA NA WATU WA CUSTOMER CARE NA TECHNICAL TEAM WAKUINGIZIE PESA YAKO.
 
On point
 
Mimi bado xbet ata kuonyesha km nmeshinda bado naambiwa wanaifanyia kazi niwe mpole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…