valparaiso
Member
- Apr 2, 2018
- 26
- 6
Both team to score - weka kwa MadridXaw bro afu nataka niweke miwil na ule wa both teams will score kwa sh 100000
Usalama WA betting kwa sasa uko kwa % kubwa kwny in play bettingNaombe ushauri jaman nataka niweke mkeka wa sh100000 kwa mech mbl 2 Bayen vs sevilla na Real madrid vs Juventus uxhauli jaman kwa wale wataramu wa mambo
shukurun deepod kwa ushauriUsalama WA betting kwa sasa uko kwa % kubwa kwny in play betting
Hii UEFA ya MSIMU HUU kwa pre-match betting ni Pasua kichwa.
Refer: Kilichotokea Jana.
Ushaur:
Kama unatumia 1xbet
Cheza in play kwny option mbalimbali km Ball possession, assist, corner, goalkick, Throwin, shots on target, fouls, yellow card nakadhalika
Kwa stake ya 10,000 mpk 20,000 kwa kila single bet
After 90mins full time, Unawz kukusanya faida ya maana.
HaaaaaahaaaaaaNimewithdraw pesa leo 1×bet dah! Ila kwa mbinde sana maana niliambiwa niwasiliane nao yaan callback dah nilivyopokea nkakutana na kiingereza cha hatar nikaanza kusema yes mwanzo mwisho mpaka wakanipa sms code.
Tuko pamoja,shukurun deepod kwa ushauri
Ha ha ha....Nimewithdraw pesa leo 1×bet dah! Ila kwa mbinde sana maana niliambiwa niwasiliane nao yaan callback dah nilivyopokea nkakutana na kiingereza cha hatar nikaanza kusema yes mwanzo mwisho mpaka wakanipa sms code.
Mkuu vipigo ndio vimenikimbiza huku dah sijui nitumie formular gan kubet. Inplay nkicheza kipigo nikiweka mikeka kipgo hadi sasa nadhan nnatuzo kama kumi hiv ya vipgo yaan mi naingiza hasara zaid ya faida.Ha ha ha....
Nimecheka sana aisee.
Ndo maana uspokuepo huwa nakumiss sn mkuu.
HUWA UNACHANGAMSHA SANA JUKWAA LETU
Ndugu yetu mwingine "tpaul" nae sjui yuko api.
Nlitamani sana kuisoma comment yake baada ya Matokeo Yale ya UEFA Jana.
Skuhz nakuona umeingia tamaa kiasiMkuu vipigo ndio vimenikimbiza huku dah sijui nitumie formular gan kubet. Inplay nkicheza kipigo nikiweka mikeka kipgo hadi sasa nadhan nnatuzo kama kumi hiv ya vipgo yaan mi naingiza hasara zaid ya faida.
Sawa mkuu ngoja nilifanyie kazSkuhz nakuona umeingia tamaa kiasi
Kias naona umediverge kwny misingi ya "BETI KISTAARABU"
Unajilipua sana kusaka big odds kwny mikeka yako ya single bet
HILI NMELISHUHUDIA SANA KWNY MIKEKA YAKO UNAYOPOST HUMU HIVI KARIBUNI.
Ushaur:
Jaribu kurudi kwny ile ile misingi yetu ya tuloshauriana kipind cha nyuma mkuu.
mkuu hoping uko salama...!!!Skuhz nakuona umeingia tamaa kiasi
Kias naona umediverge kwny misingi ya "BETI KISTAARABU"
Unajilipua sana kusaka big odds kwny mikeka yako ya single bet
HILI NMELISHUHUDIA SANA KWNY MIKEKA YAKO UNAYOPOST HUMU HIVI KARIBUNI.
Ushaur:
Jaribu kurudi kwny ile ile misingi yetu ya tuloshauriana kipind cha nyuma mkuu.
salama kiongozi. nilikutmia text huku huku public kwamba nowadays nipo in play ingawaje napata na kukosa sana sometimes napoteza mtaji wakati mwingine narudisha ila bado na huku napo hapajakuwa pa kutegemea sana.Nipo mkuu,
Habar yako