Nimeamini mkuu wale jamaa wanashinda game mbili zinazofuata wanazinguaKuna mdau alikuwa anaweka 50k nilimshauri kuhusu fioretina Yule Ni mxenge Sana Haifa kabisa labda Kama hela unaipotezea tu
Ogopa sana DW kwa Italia, wachache sana ndio wakuwaamini (Juve na Napoli) tena nao kuna muda wanachomaNimeamini mkuu wale jamaa wanashinda game mbili zinazofuata wanazingua
Huwa wanauza gameOgopa sana DW kwa Italia, wachache sana ndio wakuwaamini (Juve na Napoli) tena nao kuna muda wanachoma
wamekamiana sana hii mechiMilan na Napoli unapigwa mpira wa jihadi yani duh
WAZEE wa mikeka haoHuwa wanauza game
Arsenal over 2.5 corners 1Half
Bet woonNiliwapa Over 3.5 Full Time bado moja tu ila wanavyojivuta hahahah
Bet woon
Bet wonNiliwapa Over 3.5 Full Time bado moja tu ila wanavyojivuta hahahah
Taylor pamoja na mi foul kufika 18 hajatoa yellow hata moja hataki nipate pesaWAZEE wa mikeka hao
Huyu refa huwa ni mkolon sana.Taylor pamoja na mi foul kufika 18 hajatoa yellow hata moja hataki nipate pesa
Mm niliwapa 4.5 kudadakii.. Ila kashatoaaMungu Mkubwa ilikuwa Stress kweli hahaha