kulangwa22
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 739
- 548
Eibar pumbav zao nakushambulia kotee kule wamekaaa wamenichania na mkeka[emoji33]
unarudiii asee wakati kijana ako nilikuwa nakusubiriManchester United
Racing Santander
PSG
Real Madrid
Mmebaki ninyi tu tusiangushane please pesa ngumu sana
Acha TU ndugu yangu
Duh,
Game ya Milan walvokua wanashambuliana tokea dkk ya kwanza.
Huwez amin et imeisha 0:0
WONIn play
Russia
UFA vs Moscow
Moscow win or draw at fulltime
Odds: 2.1
IpoNaitafuta option ya "draw no bet" 1xbet siionagi
Ligi ganInplay:
Dream Fc vs Asante Kotoko
Asante Kotoko to win
Odds 4.00
Liwalo na liwe
Sikutia pesa hapo, nlkua natizama TU.mara nyingi ligi za italy siyo za kubet labda uwapage double chance
Kachana tayari.... [emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20]Borusia Dortmund jahaz linazd kuzama uko
Mapambano yanaendeleaImeniokoa sana hii. Mkuu Asante.
Ligi gan
Imeandikwaje juzi niliitafuta kweli ktkt game ya LiverpoolIpo
Ila imeandwa kivingine