Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yaan 1xbet kama kuna mpunga mref unataka wala,..hawanaga ile ya SELL,..yaan hapa imebak match 2.hawawek hyo sell ,daah,ila kwenye vihela vidogo utaona sell fasta
 
upload_2018-4-15_18-48-29.png
 
Habar za jipili wanna jf wote naombeni mbinu za kubet mbona kla sku nabet lakn natoka kapa? Ni sjui au Sina bahati?
Mkeka unaobet leta humu ujadiliwe Kabla ya kutia Mzigo, tatizo lenu siku mkishinda ndio mna screenshot mnapost humu.
 
In play

Man utd vs West brom

Race to 5 corners- man utd

Odds: 1.50
 
Back
Top Bottom