Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ipo Google store mkuu
Ni ipi kati ya hizo boss
Screenshot_20180415-212501.jpg
 
Leo kanji ndo kaimalizia faida yangu yote niliyotengeneza wik iliyopita,..kwa maana hyo,naanza 1 kesho,..nw kanichanganya kichwa,bora ni watch muv tuu...

Na kuanzia kesho,kuweka mikeka ni big NO,..mtaj mpya na ni inplay mwanzo mwenga.

Usikumwema wakuundugu.
We kila siku unasema mkeka basi, ina maana hua unajisahau au hayo maamuzi huwa unayatoa ukiwa na hasira zikiisha mzigo kama kawa
 
Back
Top Bottom