Kwa hisani ya man u kwanza vi odd vilikuwa tuduchu...Bet wooooon [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] View attachment 745639
Mhh,full time mbona kona znaanzaga 6.5 mkuu.4.5 nahis ni 1st half mkuu
Hahahahauaah,nmecheka balaa,..ni kwel mkuu,tamaa ndo inaniua.ila nmeamua sasa kwa dhati,hahahahah,ila nmecheka kinomaWe kila siku unasema mkeka basi, ina maana hua unajisahau au hayo maamuzi huwa unayatoa ukiwa na hasira zikiisha mzigo kama kawa
We acha tu kapgwaaaaaKwa hisani ya man u kwanza vi odd vilikuwa tuduchu...
***†*"LOST***In play
Lazio vs Roma
First half corners: Roma over 1.5
Odd: 1.5
********BET WOOOOOOOON *****""In play
Lazio vs Roma
Yellow card first half: Roma under 1.5
Odds: 1.50
Pole sana mkuu, naona mpuuz mmoja kakitia mchanga
Corner nimewapa Roma Over 4.5 Full Time na Madrid Over 4.5 Full Time.
Madrid[emoji736] BET WON
Roma naona wanacheza kibinda nkoi