Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,357
Nili upost wakwanza kabisa...Sasa sijui wadauIlkua pesa hyo
Sjauona, nlichelewa ki baruaniNili upost wakwanza kabisa...Sasa sijui wadau
Daaah haikuwa ridhkiiSjauona, nlichelewa ki baruani
River Plate - Rosario Central
Total Under (1.5)
Odds
1.57
Masahihisho HT A:B ni 2:0 na sio 1:0Msaada hapa assume A:B ni timu za mpira kipindi HT matokeo ni 1:0 halafu FT matokeo ni 3:2 je, option ya HT/FT yaani 1/2 utakuwa umepata? (Yaani timu A iongoze kipindi cha kwanza, halafu timu B iongoze kipindi cha pili.).
Ndio inakuwa bet woooooooonMasahihisho HT A:B ni 2:0 na sio 1:0
Mbona niliwekewa kosaNdio inakuwa bet woooooooon
Pole kiongozi hii week ni ya kanjiPole sana mkuu
Unakosaje wakat A kashinda ht goli 2-0 na B kashinda second half goli 2-1 pia. Option inakuwa 1/2 ht/ftMbona niliwekewa kosa
Pole sana Mkuu.Man utd alaaniwe.
Bet LOSTMsaada hapa assume A:B ni timu za mpira kipindi HT matokeo ni 1:0 halafu FT matokeo ni 3:2 je, option ya HT/FT yaani 1/2 utakuwa umepata? (Yaani timu A iongoze kipindi cha kwanza, halafu timu B iongoze kipindi cha pili.).
Inakua Bet lost mkuu,Unakosaje wakat A kashinda ht goli 2-0 na B kashinda second half goli 2-1 pia. Option inakuwa 1/2 ht/ft
Asee mkuu sikuwah kuijua hiyo ya 1h/2h kwa kweli...bora umetufumbua macho woteInakua Bet lost mkuu,
Wakuu,
Kuweni makin na hzi options
Nawaona tu mnavochanganya hizi option mbili
HT/FT na 1H/2H
KwenyeHiyo game,
home team kaongoza first half (HT) 2:0, Tunatia tick [emoji818]
Second half away team akafunga goli 2:1, Mpaka full time ikasomeka 3:2, Tunatia loss [emoji777]
MAANA AKE ,
TEAM A ameshinda first half na full time kashinda mechi pia
Kilichotokea kwny hiyo mechi ni HT/FT - 1/1
Ushaur
KUWENI MAKINI SANA NA HIZI OPTION KABLA HAMJATIA STAKE
KAMA OPTION INATATIZA UNAITUPIA HUMU UNAELEWESHWA KABLA HUJAWEKA STAKE.
KAMA OPTION IMESHNDKANA NA HUIELEWI, NI BORA TU USIWEKE STAKE YAKO HAPO.