DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Pole sana mkuu,Cjajua kwann mara nyingi nikimuweka Barca lazima anichanie
Huu uwanja uwa unamtesa sana barca.
Afu kingine ambacho nmechunguza, wakicheza huu uwanja Barca huwa hawawaanzishi kina Messi na Suarez au iniesta
Hiki kiwanja kila wakicheza ni lazma Barca wapange kikosi cha hovyo.
Sijajua huwa kuna siri gan hapo.