Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Habar za mchana wakuu?

Natumai mko poa

Leo Nimeona nirudishe Ule utaratibu wetu wa zamani wa pre-match bet

Hii ni kwa kuweka hapa MIKEKA YA PESA kabla ya mechi

Ili Watu wajilipue stake za maana kwny odds 2 mpk odds 3

NB: Hili halitoathiri utaratibu wetu huu wa kawaida wa In play bet

NINI MAONI YENU KUHUSU HILI WAKUU?

AU TUENDELEE TU NA INPLAY BET?

****Nawasilisha wakuu***
Jambo jema mdau
 
upo sahihi mkuu
 
game ishaanza dakika 6 sasa zinapita unaweza cheza Inplay
Melbourne Victory - Shanghai SIPG over 2.5 goals ama 3+ goals
 
Kenikia leo huweki?
Kenikia nalitengeneza sema naona Khanji ananipa mawazo kwenye game la AFC Bournemou vs Man United..ntalitupia mida naona Princess bet nao wananipafitina za Maintenance wakati wangefanya usiku kuanzia saa7 mpka saa10
 
upload_2018-4-18_13-20-14.png
 
Habar za mchana wakuu?

Natumai mko poa

Leo Nimeona nirudishe Ule utaratibu wetu wa zamani wa pre-match bet

Hii ni kwa kuweka hapa MIKEKA YA PESA kabla ya mechi

Ili Watu wajilipue stake za maana kwny odds 2 mpk odds 3

NB: Hili halitoathiri utaratibu wetu huu wa kawaida wa In play bet

NINI MAONI YENU KUHUSU HILI WAKUU?

AU TUENDELEE TU NA INPLAY BET?

****Nawasilisha wakuu***
Nitashukuru sana
 
Kenikia la saa8 mchana
Jeonbuk Hyundai Motors - Kitchee SC
tip no 1 - 1/1
tip no 2 - Over 2.5goals nkiangalia anaweza toa goal 4+.
 
Habar za mchana wakuu?

Natumai mko poa

Leo Nimeona nirudishe Ule utaratibu wetu wa zamani wa pre-match bet

Hii ni kwa kuweka hapa MIKEKA YA PESA kabla ya mechi

Ili Watu wajilipue stake za maana kwny odds 2 mpk odds 3

NB: Hili halitoathiri utaratibu wetu huu wa kawaida wa In play bet

NINI MAONI YENU KUHUSU HILI WAKUU?

AU TUENDELEE TU NA INPLAY BET?

****Nawasilisha wakuu***
binafsi nitashukuru sana.. likizo ilikua ndefu sana
 
MKEKA WA PESA No.1
{ Mechi 2 , Odds: 2.01}

1. Spanish Laliga
Valencia vs Getafe

No goal from 86:00 min - 90:00min

Odds: 1.34

2. Spanish Laliga
Real madrid vs Athletico Bilbao

Isco will not score at any time

Odds: 1.50

TOTAL ODDS: 2.01
STAKE: 20% OYC

*****Mapambano yanaendelea*****
 
MKEKA WA PESA No.1
{ Mechi 2 , Odds: 2.01}

1. Spanish Laliga
Valencia vs Getafe

No goal from 86:00 min - 90:00min

Odds: 1.34

2. Spanish Laliga
Real madrid vs Athletico Bilbao

Isco will not score at any time

Odds: 1.50

TOTAL ODDS: 2.01
STAKE: 20% OYC

*****Mapambano yanaendelea*****
Duh, hizi Option ziko wapi kaka?
Ndo kwanza nazisikia leo
 
Back
Top Bottom