Pole sana mkuu,Cjajua kwann mara nyingi nikimuweka Barca lazima anichanie
wanaojua wote kawaweka benchi hajui tumewekeza hukuWigan Alicho Tufanyaaa kama Haongozi League
Itakuwa barca wana bet aiseeee sio bure..Pole sana mkuu,
Huu uwanja uwa unamtesa sana barca.
Afu kingine ambacho nmechunguza, wakicheza huu uwanja Barca huwa hawawaanzishi kina Messi na Suarez au iniesta
Hiki kiwanja kila wakicheza ni lazma Barca wapange kikosi cha hovyo.
Sijajua huwa kuna siri gan hapo.
Pole sana mkuu,

Football. Spain. Primera Division
Villarreal - Leganes
Total Under (3.5)
Odds
1.35
Ha ha ha....Limeniua goli Aspas ladk ya 80 na kitu, alafu lile goli kanawa mpira
Usiku mwema wakuuHa ha ha....
Ndo maana Spain waliikataa goal technology na MAREFA wa nyuma ya kipa
Wanaamini figisu znaweza kuwabeba
Mambo yakiwa magumu
Na pia kwny huu uwanja Barca anapewa odds kubwa sana kuliko kawaida.Itakuwa barca wana bet aiseeee sio bure..