Jambo jema mdauHabar za mchana wakuu?
Natumai mko poa
Leo Nimeona nirudishe Ule utaratibu wetu wa zamani wa pre-match bet
Hii ni kwa kuweka hapa MIKEKA YA PESA kabla ya mechi
Ili Watu wajilipue stake za maana kwny odds 2 mpk odds 3
NB: Hili halitoathiri utaratibu wetu huu wa kawaida wa In play bet
NINI MAONI YENU KUHUSU HILI WAKUU?
AU TUENDELEE TU NA INPLAY BET?
****Nawasilisha wakuu***
upo sahihi mkuuHabar za mchana wakuu?
Natumai mko poa
Leo Nimeona nirudishe Ule utaratibu wetu wa zamani wa pre-match bet
Hii ni kwa kuweka hapa MIKEKA YA PESA kabla ya mechi
Ili Watu wajilipue stake za maana kwny odds 2 mpk odds 3
NB: Hili halitoathiri utaratibu wetu huu wa kawaida wa In play bet
NINI MAONI YENU KUHUSU HILI WAKUU?
AU TUENDELEE TU NA INPLAY BET?
****Nawasilisha wakuu***
Kenikia leo huweki?game ishaanza dakika 6 sasa zinapita unaweza cheza Inplay
Melbourne Victory - Shanghai SIPG over 2.5 goals ama 3+ goals
Kenikia nalitengeneza sema naona Khanji ananipa mawazo kwenye game la AFC Bournemou vs Man United..ntalitupia mida naona Princess bet nao wananipafitina za Maintenance wakati wangefanya usiku kuanzia saa7 mpka saa10Kenikia leo huweki?
Big UP Mzee baba, tupia wa leo kama hutojali.....
Nitashukuru sanaHabar za mchana wakuu?
Natumai mko poa
Leo Nimeona nirudishe Ule utaratibu wetu wa zamani wa pre-match bet
Hii ni kwa kuweka hapa MIKEKA YA PESA kabla ya mechi
Ili Watu wajilipue stake za maana kwny odds 2 mpk odds 3
NB: Hili halitoathiri utaratibu wetu huu wa kawaida wa In play bet
NINI MAONI YENU KUHUSU HILI WAKUU?
AU TUENDELEE TU NA INPLAY BET?
****Nawasilisha wakuu***
Tupia na waleo tuende sawa
Goal 1 tayari dk 40,Kuna sehemu jamaa amebashiri hii game U2.5
Goal la 2 tayari bado HalftimeGoal 1 tayari dk 40,
yah naona O2.5 inaenda kutokaGoal 1 tayari dk 40,
binafsi nitashukuru sana.. likizo ilikua ndefu sanaHabar za mchana wakuu?
Natumai mko poa
Leo Nimeona nirudishe Ule utaratibu wetu wa zamani wa pre-match bet
Hii ni kwa kuweka hapa MIKEKA YA PESA kabla ya mechi
Ili Watu wajilipue stake za maana kwny odds 2 mpk odds 3
NB: Hili halitoathiri utaratibu wetu huu wa kawaida wa In play bet
NINI MAONI YENU KUHUSU HILI WAKUU?
AU TUENDELEE TU NA INPLAY BET?
****Nawasilisha wakuu***
Hukuzionajana leooonayoosiku
MBs@urwonrisk
#@PRINCE GEMView attachment 748617 View attachment 748619 View attachment 748621 View attachment 748622 View attachment 748624
Mpaka Princessbet warudi hewani ukute mechi itakua ishaisha,Kenikia la saa8 mchana
Jeonbuk Hyundai Motors - Kitchee SC
tip no 1 - 1/1
tip no 2 - Over 2.5goals nkiangalia anaweza toa goal 4+.
Hahaha leo fitina mingi..Princessbet nkasema nideposit sportpesa nako pesa haijareflect mpaka sasa so nimekuwa ndugu mtizamaji wa matokeo tuu Lady Ra.Mpaka Princessbet warudi hewani ukute mechi itakua ishaisha,
dah
Aliyefwata adi sasa goal 3 so slip wongame ishaanza dakika 6 sasa zinapita unaweza cheza Inplay
Melbourne Victory - Shanghai SIPG over 2.5 goals ama 3+ goals
Duh, hizi Option ziko wapi kaka?MKEKA WA PESA No.1
{ Mechi 2 , Odds: 2.01}
1. Spanish Laliga
Valencia vs Getafe
No goal from 86:00 min - 90:00min
Odds: 1.34
2. Spanish Laliga
Real madrid vs Athletico Bilbao
Isco will not score at any time
Odds: 1.50
TOTAL ODDS: 2.01
STAKE: 20% OYC
*****Mapambano yanaendelea*****