Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

***** wamesepa na 10k yangu
Pole sn mkuu,

tia stake hapo juu, ufute machozi

Hiyo ni ela nje nje.

Nmefatilia press conference ya mou na zizzou mda so mrefu KABLA ya hii mitanange.

Nna wasiwasi hao wachezaj hawatacheza leo, na hata wakicheza wataingia kama substitute.

Hivo chance ya wao kufunga goli haitowezekana
 
Ngoja nione mkuu kichwa kinauma PSV na Valencia
 
Pole sn mkuu,

tia stake hapo juu, ufute machozi

Hiyo ni ela nje nje.

Nmefatilia press conference ya mou na zizzou mda so mrefu KABLA ya hii mitanange.

Nna wasiwasi hao wachezaj hawatacheza leo, na hata wakicheza wataingia kama substitute.

Hivo chance ya wao kufunga goli haitowezekana
hv ukiwabetia afu wasicheze inakuaje hapo!
 
hv ukiwabetia afu wasicheze inakuaje hapo!
Haijalishi, hata kama hawajacheza.

Hiyo ni bet won kama kawaida.

Ndo maana nusu SAA KABLA ya mechi zikishatangazwa official lineup.

Wale ambao hawatacheza huondolewa kwny bet list husika.

Kwahyo hii option ni kuiwahi KABLA official lineup haijatoka.
 
ATLANTA OV 2.5
LUODOG OV 2.5
[HASHTAG]#BOOOOOOOOOOOOOOOOOM[/HASHTAG]
 
MF: game man utd

Nlibet Juan mata hatofunga goli lolote ktk mechi.

Na MUNGU saidia hayupo kabisa kwny kikosi wala substitution

Hapo natia tick moja kwa moja.

Maana hawezi funga goli wakati hata kwny mechi hakuepo.

*****Mata not to score- Bet wooon****
Kaka vip na infometion za kujua nan atacheza na nan hatacheza unazipatia wap sory nawasilisha katika kupambana
 
Habar za mchana wakuu?

Natumai mko poa

Leo Nimeona nirudishe Ule utaratibu wetu wa zamani wa pre-match bet

Hii ni kwa kuweka hapa MIKEKA YA PESA kabla ya mechi

Ili Watu wajilipue stake za maana kwny odds 2 mpk odds 3

NB: Hili halitoathiri utaratibu wetu huu wa kawaida wa In play bet

NINI MAONI YENU KUHUSU HILI WAKUU?

AU TUENDELEE TU NA INPLAY BET?

****Nawasilisha wakuu***

MKUU DEEPPOND, PRE MATCH NI MPANGO MZIMA ODDS 2 MPK 3+. INPLAY INAHITAJI MUDA AMBAO WENGI TUNAKUWA NA MISHE SANA
 
MF: game man utd

Nlibet Juan mata hatofunga goli lolote ktk mechi.

Na MUNGU saidia hayupo kabisa kwny kikosi wala substitution

Hapo natia tick moja kwa moja.

Maana hawezi funga goli wakati hata kwny mechi hakuepo.

*****Mata not to score- Bet wooon****

Hii option ipo kampuni gani jamani
 
MF: game man utd

Nlibet Juan mata hatofunga goli lolote ktk mechi.

Na MUNGU saidia hayupo kabisa kwny kikosi wala substitution

Hapo natia tick moja kwa moja.

Maana hawezi funga goli wakati hata kwny mechi hakuepo.

*****Mata not to score- Bet wooon****
Hongera mkuu
 
Back
Top Bottom